Pombe sio sehemu ya mchezo wa mpira, chezeni mpira acheni ulevi wa pombe

Sawa.basi fanyeni yenu kwa kufuata taratibu za nchi husika
SI kila nchi Ina tamaduni zake na sheria zake?kwanini kwa Qatar iwe nongwa.?hata hapa Tanzania mtalii akija Kuna mambo anaelekezwa afanye na mengine asifanye.
Mimi naona tusiwapangie
Tatizo ni kwamba mwanzoni wakati wanaomba kuandaa waliyakubali hayo mambo na wamekuja kubadilika sasa hivi.
 
FIFA alishakubali ndoa.
Hana budi kulala bila nguo.
tena wameshakula sana hela ya mwarabu ili apeleke kombe Qatar.
Vumilieni tu.siku 30 sio nyingi
Tatizo ni kwamba mwanzoni wakati wanaomba kuandaa waliyakubali hayo mambo na wamekuja kubadilika sasa hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…