Execute
JF-Expert Member
- Sep 21, 2022
- 3,000
- 7,336
Tatizo ni kwamba mwanzoni wakati wanaomba kuandaa waliyakubali hayo mambo na wamekuja kubadilika sasa hivi.Sawa.basi fanyeni yenu kwa kufuata taratibu za nchi husika
SI kila nchi Ina tamaduni zake na sheria zake?kwanini kwa Qatar iwe nongwa.?hata hapa Tanzania mtalii akija Kuna mambo anaelekezwa afanye na mengine asifanye.
Mimi naona tusiwapangie