Pombe sio sehemu ya mchezo wa mpira, chezeni mpira acheni ulevi wa pombe

Rais wa shirikisho la soka duniani FIFA Gianni Infantino amezungumza na waandishi wa habari huko Qatar kuhusiana na malalamiko ya kutokuwepo kwa pombe viwanjani kwenye michuano ya Kombe la Dunia.

Infantino amesema kuwa,“Kama pombe ndilo suala kubwa tulilonalo kwa Kombe la Dunia basi nitajiuzulu mara moja na kwenda ufukweni kupumzika."

"Usipokunywa bia kwa masaa mawili matatu, bado unaweza kuishi, kwa sababu utaratibu huu pia upo hata kwenye nchi za Ulaya, ukienda Ufaransa, Ureno hata Uswisi sheria hizi zipo.Hapa imekuwa jambo kubwa sijui ni kwanini au ni kwa kuwa sababu ni nchi ya Kiislamu."

#WorldCupQatarView attachment 2421133
Hivi anajua nafasi ya washabiki katika kunogesha mpira? Hivi anajua shabiki ili achangamke vizuri lazima awe chupa? Basi si anadumisha tamaduni? Sisi mashabuki wanywaji tunagomea kuingia uwanjani awapeleka wapiga dufu na kaswida wanogeshe hayo mashindano
 
Rais wa shirikisho la soka duniani FIFA Gianni Infantino amezungumza na waandishi wa habari huko Qatar kuhusiana na malalamiko ya kutokuwepo kwa pombe viwanjani kwenye michuano ya Kombe la Dunia.

Infantino amesema kuwa,“Kama pombe ndilo suala kubwa tulilonalo kwa Kombe la Dunia basi nitajiuzulu mara moja na kwenda ufukweni kupumzika."

"Usipokunywa bia kwa masaa mawili matatu, bado unaweza kuishi, kwa sababu utaratibu huu pia upo hata kwenye nchi za Ulaya, ukienda Ufaransa, Ureno hata Uswisi sheria hizi zipo.Hapa imekuwa jambo kubwa sijui ni kwanini au ni kwa kuwa sababu ni nchi ya Kiislamu."

#WorldCupQatarView attachment 2421133
Hiyo heading yako mbona kama unazungumzia wachezaji? Wenyewe wanataka kunywa pombe badala ya kucheza mpira?
 
Koran 16:67
And from the fruits of date palms and grapes, you derive strong drink and a goodly provision. There is indeed a sign in this for those of reason
 
Hiyo heading yako mbona kama unazungumzia wachezaji? Wenyewe wanataka kunywa pombe badala ya kucheza mpira?
Mpira ni vitu vitatu wachezaji mareferi na mashabiki, wote hawahitaji pombe kufanya na fasi zao
 
Blatter atasababisha jamaa asipite kwenye uchaguz ila Africa na Asia itambeba Gian
 
Piga mashoga hao yaani hapo hyo pombe ni kisingizio tu ila wanaumia mashoga kuzuia eti haki za binadamu ila wazungu sometimes wanazingua sana.
 
Mpira ni vitu vitatu wachezaji mareferi na mashabiki, wote hawahitaji pombe kufanya na fasi zao
Kwenye “entertainment”, kuna “entertainer” na pia kuna “entertained”
Usilazimishe wote wawe sawa.
 
Mimi najua sababu ni kupinga ushoga ndo wazungu wamemindi hivi hili la pombe ni addition tu
Sisi wenye akili timamu tulishawabaini hao wenye matatizo ya akili, mwanaume kugeuzwa mwanamke ni laana na huwezi kubakia na akili timamu.
 
Rais wa shirikisho la soka duniani FIFA Gianni Infantino amezungumza na waandishi wa habari huko Qatar kuhusiana na malalamiko ya kutokuwepo kwa pombe viwanjani kwenye michuano ya Kombe la Dunia.

Infantino amesema kuwa,“Kama pombe ndilo suala kubwa tulilonalo kwa Kombe la Dunia basi nitajiuzulu mara moja na kwenda ufukweni kupumzika."

"Usipokunywa bia kwa masaa mawili matatu, bado unaweza kuishi, kwa sababu utaratibu huu pia upo hata kwenye nchi za Ulaya, ukienda Ufaransa, Ureno hata Uswisi sheria hizi zipo.Hapa imekuwa jambo kubwa sijui ni kwanini au ni kwa kuwa sababu ni nchi ya Kiislamu."

#WorldCupQatarView attachment 2421133
Aachie ngazi tuu wee kombe gani hamna kugonga monde uninga tuu huo. Kwani wao wakati wana bid hawakujua kuwa mambo ya world cup yatahisisha pombe kigegedana ushoga na kadhalika. Yaani ni sawa na mtu swala tano alafu unajiusisha na biashara ya guest house then unasema nakemea uzinzi
 
Mmekomeshwa safari hii mafilauni nyie
 
Back
Top Bottom