Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ashukuru hapo kakutana na askari mstaarabuMaaskari wetu hawana akili. Huyo jamaa alitakiwa kuwa chini ya ulinzi kwa kiendesha akiwa amelewa.
Ila kwakua kuna harufu ya hela atajizungusha hapo mpaka mwisho.
Licha ya ulevi, jamaa jinga kweli.Anampigia rais😂😂😂