inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Mmiliki halali kivipi!?..mji wa Jericho upo duniani kwa zaidi ya miaka 10 elfu!!..Ibrahim,ambaye ndiye chanzo Cha hao waisrael katokea Iraq kaenda nchi ya watuIsraeli ni mmiliki halali wa hilo eneo. Wapiga kelele za kulaani hazisaidii chochote.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Mwenyewe nashangaa, habari za wakulima wa ngano wa India.Mbona taarifa mbili tofauti??
Mwamba amewaingiza Chaka
ISRAEL taifa la haramuIsraeli ni mmiliki halali wa hilo eneo. Wapiga kelele za kulaani hazisaidii chochote.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Mbona taarifa mbili tofauti??
Thanks [emoji106][emoji106]Mbona taarifa mbili tofauti??
Hii hapa Mkuu [emoji116]Mwenyewe nashangaa, habari za wakulima wa ngano wa India.
Kawaokoe mkuu..Wakati wa uongozi wake Trump alipropose resolution ya middle east mara mbili hao jamaa waligoma kuikubali kilichofuata baada ya nchi za kiarabu zikaanza kunormalize ties na Israel wanaanza kulia tena wasasema wanasalitiwa. Kinachowaponza hao jamaa ni ubishi tu.Mimi ni mkristo ninaepinga uonevu wa wapalestina!
Lazma wawe wabishi sababu wanajua ISRAEL ni taifa la HARAMUKawaokoe mkuu..Wakati wa uongozi wake Trump alipropose resolution ya middle east mara mbili hao jamaa waligoma kuikubali kilichofuata baada ya nchi za kiarabu zikaanza kunormalize ties na Israel wanaanza kulia tena wasasema wanasalitiwa. Kinachowaponza hao jamaa ni ubishi tu.
Ndio ukweli wenyewe.kwanini alaaniwaHabari
Hivi ndivyo Wazungu wanahalalisha Israel kuendeleza Uvamizi wa Ardhi ya Wapalestina Kwa visingizio vya Imani na maandishi ya kwenye Biblia.
Kauli kama hizi za kina Pompeo ni za kulaaniwa na wapenda Haki wote.
========
Pompeo says Israel has biblical claim to Palestine and is ‘not an occupying nation’
Trump’s secretary of state makes comments on podcast to defend former administration siding more openly with Israelwww.theguardian.com
Ukweli upi? Hao wazungu ni wavamiziNdio ukweli wenyewe.kwanini alaaniwa
Ukweli upi? Hao wazungu ni wavamikw
Aliyekudanganya wayahud ni wazungu tu ndie aliyekuharibu akili. Hiv hujui kabla ya hiyo jamii ya Ashkenazi kuhamia hapo walikuwepo wayahud asilia hapo wanaishi na waarabu miaka yote. Shida hapo ni kufutwa taifa la palestina na kuitwa Israel lakin sio kwamba wapalestina wana shida na Jews. Mayahud wapo nchi zote za kiarabu mpaka Iran.Ukweli upi? Hao wazungu ni wavamizi