Pomps za Kihaya

Filosofia ya Rorya

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2021
Posts
3,211
Reaction score
3,611
Mhaya Koku Mutabirwa amejenga ukumbi mkubwa wa kisasa wa sherehe jijini Dar es Salaam, akalipa jina la Nyarubanja Modern Function Hall. Akagawa maegesho ya magari (car park) kama ifuatavyo:
  • Egesho namba moja – Ma-advoketi,
  • Egesho namba mbili – Majaji.
  • Egesho namba tatu – Wasajili wa Mahakama.
  • Egesho namba nne - Mahakimu.
  • Egesho namba tano – Wahadhiri (DRs & Profs).
  • Egesho namba sita – Makleri.
  • Egesho namba saba – Watawa.
  • Egesho namba nane – Wavuvi.
  • Egesho namba tisa – Wauza senene.
  • Egesho namba kumi - Wakulima wa Migomba.
  • Egesho namba kumi na moja – Wakulima wa Mibuni (Kahawa).
  • Egesho namba kumi na mbili – Changanyikeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…