Filosofia ya Rorya
JF-Expert Member
- Sep 20, 2021
- 3,211
- 3,611
Mhaya Koku Mutabirwa amejenga ukumbi mkubwa wa kisasa wa sherehe jijini Dar es Salaam, akalipa jina la Nyarubanja Modern Function Hall. Akagawa maegesho ya magari (car park) kama ifuatavyo:
- Egesho namba moja – Ma-advoketi,
- Egesho namba mbili – Majaji.
- Egesho namba tatu – Wasajili wa Mahakama.
- Egesho namba nne - Mahakimu.
- Egesho namba tano – Wahadhiri (DRs & Profs).
- Egesho namba sita – Makleri.
- Egesho namba saba – Watawa.
- Egesho namba nane – Wavuvi.
- Egesho namba tisa – Wauza senene.
- Egesho namba kumi - Wakulima wa Migomba.
- Egesho namba kumi na moja – Wakulima wa Mibuni (Kahawa).
- Egesho namba kumi na mbili – Changanyikeni.