The Loyalty King
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 1,298
- 2,124
Vita ya 3 ikitokea tarajia madhara makubwa mno mfano wake haujawahi kuwepo kwa silaha zilizopo kwa karne hii.Linaweza kuonekana kama wazo mfu lakini huo ndiyo ukweli. Tangu zamani vita ndiyo njia ya kurekebisha mambo na kubalance power.
Ukiangalia kwa undani matatizo yanayowakabiri vijana ni karibu sawa ulimwenguni kote, ajira hakuna, kupuuzwa na watawala pamoja na mauaji ya hovyo yanayofanywa na wanasiasa duniani kote.
Tangu utawala Constantine the Great mambo yanazidi kuwa magumu sana kwa sisi vijana. Suluhisho ni vita ya 3 ya dunia tena vita virefu haswa vya takiribani miaka 7 hapo ndipo tunaweza kupata mfumo mpya wa maifa.
Ground battle iwe Afrika, Asia na nchi za Amerika maana huko ndiko viongozi makatiri wameweka makazi yao.
Despite being a mostly destructive force, war forces all individuals to contribute to their society.
Nimetaka kumjibu ila nimemuacha tu .Daah! Mkuu mpk leo hujui kuwa siasa inaathiri maisha yako?
Miaka 7 huo uchumi utaufufua tena wewe au wajukuuLinaweza kuonekana kama wazo mfu lakini huo ndiyo ukweli. Tangu zamani vita ndiyo njia ya kurekebisha mambo na kubalance power.
Ukiangalia kwa undani matatizo yanayowakabiri vijana ni karibu sawa ulimwenguni kote, ajira hakuna, kupuuzwa na watawala pamoja na mauaji ya hovyo yanayofanywa na wanasiasa duniani kote.
Tangu utawala Constantine the Great mambo yanazidi kuwa magumu sana kwa sisi vijana. Suluhisho ni vita ya 3 ya dunia tena vita virefu haswa vya takiribani miaka 7 hapo ndipo tunaweza kupata mfumo mpya wa maifa.
Ground battle iwe Afrika, Asia na nchi za Amerika maana huko ndiko viongozi makatiri wameweka makazi yao.
Despite being a mostly destructive force, war forces all individuals to contribute to their society.
Boya mwenyewe fala NiniFanya kazi boya wewe umasikini wako usitake utuletee vita duniani