Pona yetu vijana wa kileo ni vita ya 3 ya dunia, tofauti na hapo hii dunia itaendelea kuwa mikononi wa watesi wetu

Kiufupi alichoandika mtoa mada yuko sahihi kabisa
Hizi nchi za matakoni kwa dunia ni hatari mno kwa ustawi wa. Kijana wa leo
 
Linaweza kuonekana kama wazo mfu lakini huo ndiyo ukweli. Tangu zamani vita ndiyo njia ya kurekebisha mambo na kubalance power.

Ukiangalia kwa undani matatizo yanayowakabiri vijana ni karibu sawa ulimwenguni kote, ajira hakuna, kupuuzwa na watawala pamoja na mauaji ya hovyo yanayofanywa na wanasiasa duniani kote.

Tangu utawala Constantine the Great mambo yanazidi kuwa magumu sana kwa sisi vijana. Suluhisho ni vita ya 3 ya dunia tena vita virefu haswa vya takiribani miaka 7 hapo ndipo tunaweza kupata mfumo mpya wa maifa.

Ground battle iwe Afrika, Asia na nchi za Amerika maana huko ndiko viongozi makatiri wameweka makazi yao.
Despite being a mostly destructive force, war forces all individuals to contribute to their society.
Vita ya 3 ikitokea tarajia madhara makubwa mno mfano wake haujawahi kuwepo kwa silaha zilizopo kwa karne hii.
lkn yote kwa yote vita3 haitachukua muda kutokea
 
Linaweza kuonekana kama wazo mfu lakini huo ndiyo ukweli. Tangu zamani vita ndiyo njia ya kurekebisha mambo na kubalance power.

Ukiangalia kwa undani matatizo yanayowakabiri vijana ni karibu sawa ulimwenguni kote, ajira hakuna, kupuuzwa na watawala pamoja na mauaji ya hovyo yanayofanywa na wanasiasa duniani kote.

Tangu utawala Constantine the Great mambo yanazidi kuwa magumu sana kwa sisi vijana. Suluhisho ni vita ya 3 ya dunia tena vita virefu haswa vya takiribani miaka 7 hapo ndipo tunaweza kupata mfumo mpya wa maifa.

Ground battle iwe Afrika, Asia na nchi za Amerika maana huko ndiko viongozi makatiri wameweka makazi yao.
Despite being a mostly destructive force, war forces all individuals to contribute to their society.
Miaka 7 huo uchumi utaufufua tena wewe au wajukuu
 
Back
Top Bottom