Ponda afikishwa mahakamani chini ya ulinzi mkali

Kakke

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2010
Posts
1,883
Reaction score
1,482
[h=3][/h]





Ulinzio uliimarishwa katika eneo la Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam wakati kesi ya Sheikh Ponda Issa Ponda


Watu waliofika kusikiliza kesi zao katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu walipekuliwa na walinzi

Ofisa Usalama akimkagua mmoja wa watu waliokuwa wakiingia katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam wakati kesi inayomkabili Katibu wa Taasisi na Jumuiya za Kiislamu, Sheikh Ponda Issa Ponda alipofikishwa mahakamani hapo kusomewa maelezo ya awali, kesi hiyo itatajwa tena Novemba 29.


Ponda akiwa Mahakamani

Askari Magereza akimfunga pingu Sheikh Ponda Issa Ponda baada ya kesi yake kuahirishwa hadi tarehe 29 novemba.

Watuhumiwa wakiwa mahakamani



Sheikh Ponda Issa Ponda akizungumza na wakili wake​


Sheikh Ponda Issa Ponda akirudishwa rumande

 
Kilichokuwa kikimpa nguvu Kikwete ni Waslamu wa Pwani kumuunga mkono na kui-support ccm, lakini Chadema kamtowa Paka guniani aliposema kuwambia Watanzania kuwa ccm ndio inayopandikiza chuki za kidini kwa kupata mwanya wakupita.

Hivi sasa aduwi wa ccm no1 Tanzania Bara ni Chadema ndio ikawa kinandamwa na kuambiwa ni Chama cha Kanisa kikiongozwa na Dr Slaa.


Kule visiwani Zanzibar aduwi wa ccm ni Uamsho cuf hawana jipya tayari wamo kwenye ndoa ya ccm lakini tishio hasa ni uamsho ndio wakazibitiwa ili wasipate kuzowa wazanzibar zaidi ambao % 99 ni waIslamu.

Ccm walishtuka Zanzibar baada ya kuona Uamsho imeteka watu wakila chama na kila dini, ndio wakanza kutia sumu za udini na ugaidi hii nikutokana na kuto kuwa na mvuto tena ccm Zanzibar na wazanzibar kuachana na cuf kuwa ndio mkombozi.

Hivi sasa ndani waliko Uamsho wakitowa kauli Wananchi wa Zanzibar makundi kwa makundi wanafuata, haliyakuwa Shein na Seif hawangari tena mbele ya Uamsho.
 
Duuu!!!Asalamaleko walai,ndio maana asubuhi ni mnazi badala ya chai....hivi miguvu yote hii ni kwa mtu mmoja tu?huu udhaifu ni wa mwenyekiti....
 
tunapoteza pesa nyingi kwajili ya ujinga wa wachache
 

Sijuhi huyu Askari hiyo detector alitaka kuiweka wapi. Sheikh katulia tuli! Duh
 
Duh hii tz noma aisee hata hivyo wamepiga search maana wanaweza jilipua humo mahakamani.
Ila police wetu waoga sana yaani maandalizi yote hayo kwa watu chini ya 50
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…