Kakke
JF-Expert Member
- Dec 4, 2010
- 1,883
- 1,482
[h=3][/h]

Ulinzio uliimarishwa katika eneo la Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam wakati kesi ya Sheikh Ponda Issa Ponda

Watu waliofika kusikiliza kesi zao katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu walipekuliwa na walinzi

Ofisa Usalama akimkagua mmoja wa watu waliokuwa wakiingia katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam wakati kesi inayomkabili Katibu wa Taasisi na Jumuiya za Kiislamu, Sheikh Ponda Issa Ponda alipofikishwa mahakamani hapo kusomewa maelezo ya awali, kesi hiyo itatajwa tena Novemba 29.

Ponda akiwa Mahakamani

Askari Magereza akimfunga pingu Sheikh Ponda Issa Ponda baada ya kesi yake kuahirishwa hadi tarehe 29 novemba.

Watuhumiwa wakiwa mahakamani

Sheikh Ponda Issa Ponda akirudishwa rumande

Sheikh Ponda Issa Ponda akizungumza na wakili wake