PONDA apewe dhamana

PONDA apewe dhamana

Status
Not open for further replies.
Joined
Feb 13, 2013
Posts
98
Reaction score
15
Jaman hakuna haja ya kutumia nguvu nying kusambaratisha maandamano ya waislam Criminal Procedure Act inaelekeza makosa gani mtu hapewi thamana.pia mazingira ambayo mtu hapewi thamana. Ila kama kuna mazingira ambayo ponda hapewi thaman nafikiri uhuru kenyatta anayetuhumiwa kuua mamia ya watu asingekuwa kwenye kampen. Mpen Ponda bail akatunze familia yake.
 
si mshaambiwa wanachunguza uhusiano wake na alshabab sijui alquida? Plus uraia? Plus ugaidi wa bongo na kenya?

Wekeni hisiaza dini pembeni acheni serikali ifanye kazi yake
 
Lulu kauwa bila kukusudia kapewa dhamana, shehe Ponda kafanya nini kikubwa kisichstahili dhamana, dhamana ni haki ya kila mtu, apewe haki yakr
 
Ushaambiwa anashirikiana na AL SHABAB unafikiri kuna dhamana hapo??

Kilichobaki ni kumpeleka GUANTANAMO tu
 
Lulu kauwa bila kukusudia kapewa dhamana, shehe Ponda kafanya nini kikubwa kisichstahili dhamana, dhamana ni haki ya kila mtu, apewe haki yakr

"Bora mmoja afe kuliko amani ya nchi kuwekwa rehani"
 
Hujasoma gazeti la jana DPP kasema kuwa anahusika na Al shabaab,uvunjifu wa amani Kenya na Tanzania.
Mkijifanya mnajua atapelekwa Kenya kuhukumiwa
 
Ponda ni mchochezi, alisababisha makanisa kuvunjwa na kuporwa mali, amesababisha waislam kulilia kuchinja na vurugu za Geita kuna mkono wake......huyo wala dhamana isizungumzwe aozee jela
 
Akiachiwa, wafuasi wake watachoma makanisa tena. Na ikiwa hivyo, wakristo hawata-mezea. Nchi italipuka. Vurugu za uchinjaji Geita zinaongeza ugumu wa dhamana kwa Ponda. Abaki huko huko.
 
Ponda anatakiwa ahukumiwe haraka sana, ili story zake ziishe
 
Ponda ni mchochezi, alisababisha makanisa kuvunjwa na kuporwa mali, amesababisha waislam kulilia kuchinja na vurugu za Geita kuna mkono wake......huyo wala dhamana isizungumzwe aozee jela

Nashangaa waislam wanalilia kuchinja wanyama wapole kama kuku,bata,mbuzi,kondoo,kanga, batamzinga, ng'ombe mbona kumchinja Nyati,pofu, swala hawalilii? Na nyama yake wanakula vizuri.
 
Lulu kauwa bila kukusudia kapewa dhamana, shehe Ponda kafanya nini kikubwa kisichstahili dhamana, dhamana ni haki ya kila mtu, apewe haki yakr

Wakati Lulu yupo mahabusu, ulishaona mtu yeyote anaandamana kushinikiza dhamana yake? Kinachofanya Ponda achukuliwe kwa umakini ni hamasa iliyoko nyuma yake. Mtu aliyemnyonga mkewe kwa wivu wa mapenzi sio wa hatari kama mtu anayesimama jukwaani na kuwaambia watu 'tufanye vyovyote vile ili mradi lengo letu litimie'
 
Kweli nchi hii inakoenda siko. Suaka la ponda lhtaleta madhara. Kama ni gaid apelekwe ICC.sio kisutu. Achen hizo ndo hapo mnaleta udin jaman.
 
Kila raia anastahili dhamana mbele ya mahakama, kesi ya Ponda iko wazi na dhamana tatizo ni mtazamo hasi juu ya Ponda miongoni mwa kundi fulani la watz
 
Kwa sababu ni muislam,kila baya litakufuata hv sasa na ya uraia pia yamerudi tena,sasa sijui mwanzoni uchunguzi walioufanya walikosea,angekuwa padri huyu,tusingeona comment za namna hii. Acheni ubaguzi kila mtu lazima apewe haki yake na si kuzusha vitu visivyo na msingi ili anyimwe dhamana.
 
mi mtoa mada ni mkristo sina hulka ya ubaguzi. Naamin maandamano yatamtoa ponda jumatatu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom