Mgosi original
Member
- Feb 13, 2013
- 98
- 15
Lulu kauwa bila kukusudia kapewa dhamana, shehe Ponda kafanya nini kikubwa kisichstahili dhamana, dhamana ni haki ya kila mtu, apewe haki yakr
Mnataka ya GEITA yatokee dar?Kosa la ugaidi lina dhamana?
Ponda ni mchochezi, alisababisha makanisa kuvunjwa na kuporwa mali, amesababisha waislam kulilia kuchinja na vurugu za Geita kuna mkono wake......huyo wala dhamana isizungumzwe aozee jela
Lulu kauwa bila kukusudia kapewa dhamana, shehe Ponda kafanya nini kikubwa kisichstahili dhamana, dhamana ni haki ya kila mtu, apewe haki yakr
kweli ponda anakesi ya kiwanja kuvamia sio ugaidiKila raia anastahili dhamana mbele ya mahakama, kesi ya Ponda iko wazi na dhamana tatizo ni mtazamo hasi juu ya Ponda miongoni mwa kundi fulani la watz
mi mtoa mada ni mkristo sina hulka ya ubaguzi. Naamin maandamano yatamtoa ponda jumatatu.Kwa sababu ni muislam,kila baya litakufuata hv sasa na ya uraia pia yamerudi tena,sasa sijui mwanzoni uchunguzi walioufanya walikosea,angekuwa padri huyu,tusingeona comment za namna hii. Acheni ubaguzi kila mtu lazima apewe haki yake na si kuzusha vitu visivyo na msingi ili anyimwe dhamana.