Ponda mali kufa kwaja! Nifanye saving ili iweje? Mimi ni mwendo wa kuponda mali tu

Tajiri wa kusini

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2022
Posts
1,079
Reaction score
2,947
Kwanza mimi ni marehemu mtarajiwa nifanye saving ili iweje? Nigundue nini hasa? Nitaponda mali mpakss maji yaseme mma kwanza maisha yenyewe ni mafupi hasa cha kufanya saving mimi ili iweje?

Juzi kuna mwana 30's amepoteza maisha hivi lakini kwenye account alikuwa na almost 150 million mbio zote hizo za kutafuta mali na pesa lakini imeishia tu ahahhahahaha kwangu mimi ni mwendo wa kula na kuponda mali kwahiyo wanajamii forums leo tukutane samaki samaki masaki tuje tuponde mali then baadae tuelekee cape Town fish market kuponda mali.

Yaaani saving yangu yote Ile itaishia kwenye kuponda mali tu kwahiyo wana karibu kama unahitaji kujoin na mimi kwenye viwanja ni pm then nitakupa namba yangu unipigie nikupe rating ya wiki mzima!we unafikiri mwana baada ya kufariki pesa zake si watakula watu ambao hawakuzitolea jasho?

Karibuni!
 
Tunasave kwa sababu tusiposave kuna mambo 2 yanaweza kutokea.

1. Tukafa na kuiacha familia bila kitu.

2. Tukaishi bila uwezo wa uzalishaji mali kutokana na uzee, ulemavu, kufilisika, anguko la uchumi n.k

Kuna tunaoamini kuwa, duniani humu tumekuja kutoa huduma kwa wengine hivyo vingine vyote tunapaswa kuvifurahia kwa kiasi.
 
Mueleze poyoyo huyo
 
Tunaomba radhi kwa wote watakaokwazika mwandishi ni mmoja wa wagonjwa wetu katika hospital yetu ya crazy for life.

Ndugu Mwana mzizima, alifanikiwa kutoroka jana hospital na kuiba simu ya ofisi na Sasa anaropoka hovyo tu.

Tunashukuru kwa ushirikiano wenu na tunaahidi tutalishughulikia hivyo mvumilieni.

Ninaambatanisha ushahidi wa vyeti alivyovipata kutoka hospital yetu
FB_IMG_16664248584906725.jpg
 
Mueleze poyoyo huyo
Anasema hasave sababu atakuja kufa.🤣

Huyu Amenikumbusha jamaa fulani lilikuwa jinga kweli, lilipata mwanamke mwenye uwezo wakafunga ndoa, sasa likaanza vurugu linataka jina la nyumba mwanamke aliyojenga libadilishwe liwekwe lake, akaulizwa sababu? Akajibu kuna leo na kesho, mke wangu akifa ndugu zake si watanitesa?

Wanaume wamepoteza uwezo wa kuwa wanaume wamekuwa kama wanawake, sasa kama huyu, unaonaje hakuna umuhimu wa kusave? Huna majumkumu ya wanaokutegemea?
 
Heri kupoteza pesa kwenye starehe na anasa kuliko kupoteza pesa kwenye biashara ukapata hasara, utaumia maisha YAKO yote.
 
Kwanza mimi ni marehemu mtarajiwa nifanye saving ili iweje? Nigundue nini hasa? Nitaponda mali mpakss maji yaseme mma kwanza maisha yenyewe ni mafupi hasa cha kufanya saving mimi ili iweje?

Juzi kuna mwana 30's amepoteza maisha hivi lakini kwenye account alikuwa na almost 150 million mbio zote hizo za kutafuta mali na pesa lakini imeishia tu ahahhahahaha kwangu mimi ni mwendo wa kula na kuponda mali kwahiyo wanajamii forums leo tukutane samaki samaki masaki tuje tuponde mali then baadae tuelekee cape Town fish market kuponda mali.

Yaaani saving yangu yote Ile itaishia kwenye kuponda mali tu kwahiyo wana karibu kama unahitaji kujoin na mimi kwenye viwanja ni pm then nitakupa namba yangu unipigie nikupe rating ya wiki mzima!we unafikiri mwana baada ya kufariki pesa zake si watakula watu ambao hawakuzitolea jasho?

Karibuni!
Tusikulaumu sana utoto unachangia.

Ukifika angalau miaka 25 utaanza kujitambua.
 
Bado hujajitambua, ipo siku ujinga utaisha tu.
 
Unanikumbusha jamaa angu edo yeye mondey to Sunday ni kwenye makasino tu yupo 49 hana familia

Ila mzee wake aliwekeza kwenye frame na nyumba za kupanga wanachukua mikodi tu
 
Kweli kabisa🤣🤣🤣🤣🤣
Duniani tunapita tuu😂😂😂😂
 
Kwanza mimi ni marehemu mtarajiwa nifanye saving ili iweje? Nigundue nini hasa? Nitaponda mali mpakss maji yaseme mma kwanza maisha yenyewe ni mafupi hasa cha kufanya saving mimi ili iweje?

Juzi kuna mwana 30's amepoteza maisha hivi lakini kwenye account alikuwa na almost 150 million mbio zote hizo za kutafuta mali na pesa lakini imeishia tu ahahhahahaha kwangu mimi ni mwendo wa kula na kuponda mali kwahiyo wanajamii forums leo tukutane samaki samaki masaki tuje tuponde mali then baadae tuelekee cape Town fish market kuponda mali.

Yaaani saving yangu yote Ile itaishia kwenye kuponda mali tu kwahiyo wana karibu kama unahitaji kujoin na mimi kwenye viwanja ni pm then nitakupa namba yangu unipigie nikupe rating ya wiki mzima!we unafikiri mwana baada ya kufariki pesa zake si watakula watu ambao hawakuzitolea jasho?

Karibuni!
Uta-tombewa mke...
 
We dogo hebu komaa kiakili basi. Unahisi kila mtu mtoto mwenzako humu

We si ulianzisha uzi kusema una miaka 20 lakini umesevu una million 50 bank?

Watu wengine mnaifanya JF kuwa kijiwe cha watoto sijui
 
Back
Top Bottom