President Elect
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 693
- 212
Wakatabahu, amani kwenu....takbir. Tuwaombee duwa ndugu zetu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakatabahu, amani kwenu....takbir. Tuwaombee duwa ndugu zetu.
Wakatabahu, amani kwenu....takbir. Tuwaombee duwa ndugu zetu.
nimewaona wakipitishwa maeneo ya TAZATA WAKIWA CHINI YA ULINZI MKALI HUKU FARASI ZINGINE NJINGI ZIKIELEKEA MJINIWakatabahu, amani kwenu....takbir. Tuwaombee duwa ndugu zetu.
dua ya nini? Are they sick?
Kuna maandamano? maana nataka nikafanye manunuzi kwenye viunga vya jiji nisije nikakutana na kasheshe
Tena tuwaombee dua wasitoke kabisa huko rumande, mpaka watakapojua nini maaana ya kutii mamlakaWakatabahu, amani kwenu....takbir. Tuwaombee duwa ndugu zetu.
halafu karandinga liwe linapita kwenye barabara yenye makorongoLabda duwa ya albadiri.
Ilibidi wawe wamekalia chupa wakiwa ndani ya karandinga.
Ndio nini tena hiki?Wakatabahu!
Wakatabahu, amani kwenu....takbir. Tuwaombee duwa ndugu zetu.
wewe nenda tu mradi usinunue vitu vinavyoweza kuvunjikaKuna maandamano? maana nataka nikafanye manunuzi kwenye viunga vya jiji nisije nikakutana na kasheshe
Imani inatutaka tuwakumbuke maskini, wagonjwa, wajane, yatima, wenye ulemavu, walioko magerezani, na wenye uhitaji.
Amani kwenu wote, wenye dini na msio na dini. Wakatabahu!