Ponda na wenzake warudishwa rumande, kesi yapigwa tarehe

Ponda na wenzake warudishwa rumande, kesi yapigwa tarehe

Mleta mada ni mbabaishaji, hujatoa maelezo ya kutosha ya lini kesi hiyo imepangwa, kama hakimu ni yule yule ambaye kei si yake na sababu za kunyimwa dhamana ni nini????
 
Kuna maandamano? maana nataka nikafanye manunuzi kwenye viunga vya jiji nisije nikakutana na kasheshe
 
Labda duwa ya albadiri.

Ilibidi wawe wamekalia chupa wakiwa ndani ya karandinga.
 
Imani inatutaka tuwakumbuke maskini, wagonjwa, wajane, yatima, wenye ulemavu, walioko magerezani, na wenye uhitaji.

Amani kwenu wote, wenye dini na msio na dini. Wakatabahu!

Imani hiyo ndiyo inawatuma wakachome makanisa,
Waibe mali za kanisani. Wale mikate ya kanisani.
 
Kwenye hii kesi ya Ponda kuna kitu cha kujifunza tatizo tunachukulia kishabiki. Kuna mwanasheria ambaye anaweza kujitolea kutuelezea kidogo, Kesi inayomkabili Ponda ni nini, na kwanini hawapewi dhamana? Nilimskia Lipumba wa CUF akidai kuwa kesi ya Ponda ni ya ardhi hivyo ingepelekwa mahakama ya ardhi, je ana hoja au ushabiki na yeye? Embu wansheria tupeni elimu kidogo you learned brothers and sisters
 
Back
Top Bottom