Toka lini watuhumiwa wa uhalifu wakaombewa duwa?
ya tawfiq,ya taqwa,ya tashrifu,ya sai baba,ya dar express,ya mtei......
Ningekuwa judge iyo kesi ningei ahirisha mpaka mwakani
CHADEMA wanatii mamlaka, mamlka pekee inayotakiwa kuheshimiwa ni KANISAwatii mamlaka kama chadema wanavyotii. mwehu.
ponda hana kesi yakujibu.kilichpo hapa ni kujiuma uma kwa serikali na kutafuta kesi ya kumbambikia.kwenye hii kesi ya ponda kuna kitu cha kujifunza tatizo tunachukulia kishabiki. Kuna mwanasheria ambaye anaweza kujitolea kutuelezea kidogo, kesi inayomkabili ponda ni nini, na kwanini hawapewi dhamana? Nilimskia lipumba wa cuf akidai kuwa kesi ya ponda ni ya ardhi hivyo ingepelekwa mahakama ya ardhi, je ana hoja au ushabiki na yeye? Embu wansheria tupeni elimu kidogo you learned brothers and sisters
Wakatabahu, amani kwenu....takbir. Tuwaombee duwa ndugu zetu.
Kwenye hii kesi ya Ponda kuna kitu cha kujifunza tatizo tunachukulia kishabiki. Kuna mwanasheria ambaye anaweza kujitolea kutuelezea kidogo, Kesi inayomkabili Ponda ni nini, na kwanini hawapewi dhamana? Nilimskia Lipumba wa CUF akidai kuwa kesi ya Ponda ni ya ardhi hivyo ingepelekwa mahakama ya ardhi, je ana hoja au ushabiki na yeye? Embu wansheria tupeni elimu kidogo you learned brothers and sisters
...............tunaisisitizia serikali hii.. Hawa watu wakorofi wanaosababisha upotevu wa amani bila ya sababu za msingi... Iwaadhibu, isiwape dhamana kabisa.........na wahakikishe wote wanakula mvua za kutosha tena na kazi ngumu katika magereza ya kilimo yenye hali ya hewa na baridi kali........ Ili iwe fundisho kwa wengine wenye mawazo kama haya na kama serikali ikicheza cheza na watu kama hawa ni sawa na mkimzoea mbwa atakufuata mpaka msikitini........... Hawa ni dili la kutoa fundisho kwa wengine!
Watabana Watawachia tu, alianza Nyerere kuwafunga ma Sheikh Tanzania hii, si jipya hilo.
Udugu wa kiislamu (MuslimsBrotherhood) wa kufanana na ule wa nchini Misri umeinyemelea CCM kwa ari mpya,kasi mpya na nguvu mpya. Baadhi ya wapiga kura wa kikristo huku wakijua aukutokujua mtandao huu mpya ndani ya CCM (ambao ni wa siri) nao wamejikutawakiingizwa kimya kimya kuunga mkono udugu huu hapa Tanzania.
Angalia jinsijumuiya hizi za CCM Kitaifa zilivyojipanga ili kuwaweka waislamu ktk nafasi zajuu: Tafakari…
[TABLE="class: MsoTableGrid"]
[TR]
[TD][/TD]
[TD="width: 142, bgcolor: transparent"][/TD]Jumuiya ya CCM
[TD="width: 236, bgcolor: transparent"][/TD]Jina
[TD="width: 142, bgcolor: transparent"][/TD]Dini
[/TR]
[TR]
[TD="width: 44, bgcolor: transparent"]1. [/TD]
[TD="width: 142, bgcolor: transparent"]UWT Taifa – M/kiti [/TD]
[TD="width: 236, bgcolor: transparent"] Sophia Simba
[/TD]
[TD="width: 142, bgcolor: transparent"]Muislamu [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 44, bgcolor: transparent"]2. [/TD]
[TD="width: 142, bgcolor: transparent"]UVCCM Taifa – M/kiti
[/TD]
[TD="width: 236, bgcolor: transparent"]Khamis Sadifa Juma[/TD]
[TD="width: 142, bgcolor: transparent"]Muislamu [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 44, bgcolor: transparent"]3. [/TD]
[TD="width: 142, bgcolor: transparent"]Wazazi – M/kiti[/TD]
[TD="width: 236, bgcolor: transparent"]Abdallah Majura[/TD]
[TD="width: 142, bgcolor: transparent"]Muislamu [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Kwenye hii kesi ya Ponda kuna kitu cha kujifunza tatizo tunachukulia kishabiki. Kuna mwanasheria ambaye anaweza kujitolea kutuelezea kidogo, Kesi inayomkabili Ponda ni nini, na kwanini hawapewi dhamana? Nilimskia Lipumba wa CUF akidai kuwa kesi ya Ponda ni ya ardhi hivyo ingepelekwa mahakama ya ardhi, je ana hoja au ushabiki na yeye? Embu wansheria tupeni elimu kidogo you learned brothers and sisters
Nimecheka sana, kuna jamaa yangu hapa nilikuwa napiga naye story ni muislam lakini hakubahatika kupata Elimu dunia. nam-quote "Lakini hii kesi tutashinda tuu kwasababu hakuna shahidi atakayekuja kutoa ushahidi dhidi ya watu wanaopigania dini ya mnyaazi Mungu subhana taala kwasababu hakuna mtu asiye ogopa laana ya mnyaazi Mungu subhana taala "
ccm wanadhani wakiwanyanyasa waislam wakiristo watahama kutoka chadema kurudi ccm. Nadhani nape nakundi lake wasahahu.tena tuwaombee dua wasitoke kabisa huko rumande, mpaka watakapojua nini maaana ya kutii mamlaka