Ponda na wenzake warudishwa rumande, kesi yapigwa tarehe

Ponda na wenzake warudishwa rumande, kesi yapigwa tarehe

Toka lini watuhumiwa wa uhalifu wakaombewa duwa?

Nimecheka sana, kuna jamaa yangu hapa nilikuwa napiga naye story ni muislam lakini hakubahatika kupata Elimu dunia. nam-quote "Lakini hii kesi tutashinda tuu kwasababu hakuna shahidi atakayekuja kutoa ushahidi dhidi ya watu wanaopigania dini ya mnyaazi Mungu subhana taala kwasababu hakuna mtu asiye ogopa laana ya mnyaazi Mungu subhana taala "
 
kwenye hii kesi ya ponda kuna kitu cha kujifunza tatizo tunachukulia kishabiki. Kuna mwanasheria ambaye anaweza kujitolea kutuelezea kidogo, kesi inayomkabili ponda ni nini, na kwanini hawapewi dhamana? Nilimskia lipumba wa cuf akidai kuwa kesi ya ponda ni ya ardhi hivyo ingepelekwa mahakama ya ardhi, je ana hoja au ushabiki na yeye? Embu wansheria tupeni elimu kidogo you learned brothers and sisters
ponda hana kesi yakujibu.kilichpo hapa ni kujiuma uma kwa serikali na kutafuta kesi ya kumbambikia.
 
unaweza kuta unayemwamini ndiye anakuja kukuwekea sumu
Hawana maana binadamu wanao kuhukumu
 
Wakatabahu, amani kwenu....takbir. Tuwaombee duwa ndugu zetu.

...............Tunaisisitizia serikali hii.. hawa watu wakorofi wanaosababisha upotevu wa amani bila ya sababu za msingi... iwaadhibu, isiwape dhamana kabisa.........na wahakikishe wote wanakula mvua za kutosha tena na kazi ngumu katika magereza ya kilimo yenye hali ya hewa na baridi kali........ ili iwe fundisho kwa wengine wenye mawazo kama haya na kama serikali ikicheza cheza na watu kama hawa ni sawa na mkimzoea mbwa atakufuata mpaka msikitini........... hawa ni dili la kutoa fundisho kwa wengine!
 
Watabana Watawachia tu, alianza Nyerere kuwafunga ma Sheikh Tanzania hii, si jipya hilo.
 
Kwenye hii kesi ya Ponda kuna kitu cha kujifunza tatizo tunachukulia kishabiki. Kuna mwanasheria ambaye anaweza kujitolea kutuelezea kidogo, Kesi inayomkabili Ponda ni nini, na kwanini hawapewi dhamana? Nilimskia Lipumba wa CUF akidai kuwa kesi ya Ponda ni ya ardhi hivyo ingepelekwa mahakama ya ardhi, je ana hoja au ushabiki na yeye? Embu wansheria tupeni elimu kidogo you learned brothers and sisters

Ponda anatupeleka huku soma View attachment 70035
 
Mkuu uko sahihi wanataka kutupelejka View attachment 70036
...............tunaisisitizia serikali hii.. Hawa watu wakorofi wanaosababisha upotevu wa amani bila ya sababu za msingi... Iwaadhibu, isiwape dhamana kabisa.........na wahakikishe wote wanakula mvua za kutosha tena na kazi ngumu katika magereza ya kilimo yenye hali ya hewa na baridi kali........ Ili iwe fundisho kwa wengine wenye mawazo kama haya na kama serikali ikicheza cheza na watu kama hawa ni sawa na mkimzoea mbwa atakufuata mpaka msikitini........... Hawa ni dili la kutoa fundisho kwa wengine!
 
Watabana Watawachia tu, alianza Nyerere kuwafunga ma Sheikh Tanzania hii, si jipya hilo.

Sasa amepokea ustaadh Kikwete, yeye ananyoa hadi ndevu, nini Nyerere kufunga tu!
 
Udugu wa kiislamu (MuslimsBrotherhood) wa kufanana na ule wa nchini Misri umeinyemelea CCM kwa ari mpya,kasi mpya na nguvu mpya. Baadhi ya wapiga kura wa kikristo huku wakijua aukutokujua mtandao huu mpya ndani ya CCM (ambao ni wa siri) nao wamejikutawakiingizwa kimya kimya kuunga mkono udugu huu hapa Tanzania.

Angalia jinsijumuiya hizi za CCM Kitaifa zilivyojipanga ili kuwaweka waislamu ktk nafasi zajuu: Tafakari…
[TABLE="class: MsoTableGrid"]
[TR]
[TD="width: 44, bgcolor: transparent"]
[/TD]
[TD="width: 142, bgcolor: transparent"]
Jumuiya ya CCM
[/TD]
[TD="width: 236, bgcolor: transparent"]
Jina
[/TD]
[TD="width: 142, bgcolor: transparent"]
Dini
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 44, bgcolor: transparent"] 1.
[/TD]
[TD="width: 142, bgcolor: transparent"] UWT Taifa – M/kiti
[/TD]
[TD="width: 236, bgcolor: transparent"] Sophia Simba

[/TD]
[TD="width: 142, bgcolor: transparent"] Muislamu
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 44, bgcolor: transparent"] 2.
[/TD]
[TD="width: 142, bgcolor: transparent"] UVCCM Taifa – M/kiti

[/TD]
[TD="width: 236, bgcolor: transparent"] Khamis Sadifa Juma
[/TD]
[TD="width: 142, bgcolor: transparent"] Muislamu
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 44, bgcolor: transparent"] 3.
[/TD]
[TD="width: 142, bgcolor: transparent"] Wazazi – M/kiti
[/TD]
[TD="width: 236, bgcolor: transparent"] Abdallah Majura
[/TD]
[TD="width: 142, bgcolor: transparent"] Muislamu
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Udugu wa kiislamu (MuslimsBrotherhood) wa kufanana na ule wa nchini Misri umeinyemelea CCM kwa ari mpya,kasi mpya na nguvu mpya. Baadhi ya wapiga kura wa kikristo huku wakijua aukutokujua mtandao huu mpya ndani ya CCM (ambao ni wa siri) nao wamejikutawakiingizwa kimya kimya kuunga mkono udugu huu hapa Tanzania.

Angalia jinsijumuiya hizi za CCM Kitaifa zilivyojipanga ili kuwaweka waislamu ktk nafasi zajuu: Tafakari…
[TABLE="class: MsoTableGrid"]
[TR]
[TD][/TD]
[TD="width: 142, bgcolor: transparent"]
Jumuiya ya CCM
[/TD]
[TD="width: 236, bgcolor: transparent"]
Jina
[/TD]
[TD="width: 142, bgcolor: transparent"]
Dini
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 44, bgcolor: transparent"]1. [/TD]
[TD="width: 142, bgcolor: transparent"]UWT Taifa – M/kiti [/TD]
[TD="width: 236, bgcolor: transparent"] Sophia Simba
[/TD]
[TD="width: 142, bgcolor: transparent"]Muislamu [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 44, bgcolor: transparent"]2. [/TD]
[TD="width: 142, bgcolor: transparent"]UVCCM Taifa – M/kiti
[/TD]
[TD="width: 236, bgcolor: transparent"]Khamis Sadifa Juma[/TD]
[TD="width: 142, bgcolor: transparent"]Muislamu [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 44, bgcolor: transparent"]3. [/TD]
[TD="width: 142, bgcolor: transparent"]Wazazi – M/kiti[/TD]
[TD="width: 236, bgcolor: transparent"]Abdallah Majura[/TD]
[TD="width: 142, bgcolor: transparent"]Muislamu [/TD]
[/TR]
[/TABLE]

.........Hapo mimi siingii maana tukianza kuangalia nani mkristo nani mwisilamu..... tutaishia UDINI
 
Kwenye hii kesi ya Ponda kuna kitu cha kujifunza tatizo tunachukulia kishabiki. Kuna mwanasheria ambaye anaweza kujitolea kutuelezea kidogo, Kesi inayomkabili Ponda ni nini, na kwanini hawapewi dhamana? Nilimskia Lipumba wa CUF akidai kuwa kesi ya Ponda ni ya ardhi hivyo ingepelekwa mahakama ya ardhi, je ana hoja au ushabiki na yeye? Embu wansheria tupeni elimu kidogo you learned brothers and sisters

lipumba msomi asie na akili,kesi ya ponda ni jinai! KASOME,PENAL CODE,CPA,KATIBA
 
Dah hii ishu tuliongea sana jana na jirani yangu yeye ni Muislam, akawa anasema kwamba yeye binafsi yupo tayari kufa kwa ajili ya dini yake haiwezekani Shkh Ponda asipewe dhamana wakati kesi kama hii ilitakiwa apewe dhamana..... Sisi tukamshauri kwa upendo ndugu mambo haya waachieni serikali nyie mnavyoingia barabarani inamaana kwamba hamtaki kuheshimu vyombo vya dola. Sasa sijui jirani yangu ataingia barabarani kesho c'z huyo mheshimiwa ndo kanyimwa dhamana.
 
Nimecheka sana, kuna jamaa yangu hapa nilikuwa napiga naye story ni muislam lakini hakubahatika kupata Elimu dunia. nam-quote "Lakini hii kesi tutashinda tuu kwasababu hakuna shahidi atakayekuja kutoa ushahidi dhidi ya watu wanaopigania dini ya mnyaazi Mungu subhana taala kwasababu hakuna mtu asiye ogopa laana ya mnyaazi Mungu subhana taala "

ilmu ahera kweli janga.. Nimecheka hadi nimepaliwa
 
Hawa jamaa sijui watanyongwa lini!!
 
tena tuwaombee dua wasitoke kabisa huko rumande, mpaka watakapojua nini maaana ya kutii mamlaka
ccm wanadhani wakiwanyanyasa waislam wakiristo watahama kutoka chadema kurudi ccm. Nadhani nape nakundi lake wasahahu.
 
Back
Top Bottom