Malaria Sugu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2009
- 2,653
- 266
Watabana Watawachia tu, alianza Nyerere kuwafunga ma Sheikh Tanzania hii, si jipya hilo.
safi sana,mwenye uchungu akaungane na ponda kula dona.
Hivi kwanini mashehe wengi wanakuaga wapumbavu? Naomba unijibu
Inshallah watatoka tu...
Kama Nyerere aliwahi kuwafukuza masheikh waliomsaidia uhuru, Mwinyi nae kaendelea , mkapa kaamua yeye kuwaua kabisa. Jk na yeye anatumikia Mfumo. kibaya zaidi jk amepata kura za waislam baada ya wakiristo kuamua kumpigia kura dk Slaa. juu ya yote hayo hao masheikh watatoka tu ndani na Jk ataicha nchi lakini masheikh wetu watabaki na wataendelea na harakati zao za kuwakomboa waislam
Wanyongwe tu. Kwani wana faida gani nchini?
wakombozi wote duniani walinyanyaswa na watawala. Kawaida ya masheikh na viongozi wote wa kiislam waliosimama kwenye haki wamepata mateso. hiyo ndio historia ya uislam. hatushangai Jk kumtesa Sheikh Ponda, na Jk anapitia kumbukumbu tu za watawala waliopita duniani. Lkn uislam utazidi kungaraNi shule tu ndio itakayo wakomboa sio vurugu wala maandamano na kuchoma makanisa. Wakristo wana Yesu ambaye anawapa utajiri. Waislam wakiyachoma wao wanajenga mapya kwa masaada wa Yesu.
wakombozi wote duniani walinyanyaswa na watawala. Kawaida ya masheikh na viongozi wote wa kiislam waliosimama kwenye haki wamepata mateso. hiyo ndio historia ya uislam. hatushangai Jk kumtesa Sheikh Ponda, na Jk anapitia kumbukumbu tu za watawala waliopita duniani. Lkn uislam utazidi kungara
wakombozi wote duniani walinyanyaswa na watawala. Kawaida ya masheikh na viongozi wote wa kiislam waliosimama kwenye haki wamepata mateso. hiyo ndio historia ya uislam. hatushangai Jk kumtesa Sheikh Ponda, na Jk anapitia kumbukumbu tu za watawala waliopita duniani. Lkn uislam utazidi kungara
wakombozi wote duniani walinyanyaswa na watawala. Kawaida ya masheikh na viongozi wote wa kiislam waliosimama kwenye haki wamepata mateso. hiyo ndio historia ya uislam. hatushangai Jk kumtesa Sheikh Ponda, na Jk anapitia kumbukumbu tu za watawala waliopita duniani. Lkn uislam utazidi kungara
Inshallah watatoka tu...
Kama Nyerere aliwahi kuwafukuza masheikh waliomsaidia uhuru, Mwinyi nae kaendelea , mkapa kaamua yeye kuwaua kabisa. Jk na yeye anatumikia Mfumo. kibaya zaidi jk amepata kura za waislam baada ya wakiristo kuamua kumpigia kura dk Slaa. juu ya yote hayo hao masheikh watatoka tu ndani na Jk ataicha nchi lakini masheikh wetu watabaki na wataendelea na harakati zao za kuwakomboa waislam
UNTAKA KUTUSUMBUA TUU, WEWE UNATAKA KUJUA NINI? NENDA MAHAKAMANI KAULIZE HAKIMU! kaseme , huyu muislamu mwenzqngu anakosa gani? halafu hili swali ni la kitoto sana na hakuna atakaye kukupa jibu. Kama unadhania kaonewa wewe nenda katuchongee nchi nzima kwa serikali ya Iran au Oman.Kwenye hii kesi ya Ponda kuna kitu cha kujifunza tatizo tunachukulia kishabiki. Kuna mwanasheria ambaye anaweza kujitolea kutuelezea kidogo, Kesi inayomkabili Ponda ni nini, na kwanini hawapewi dhamana? Nilimskia Lipumba wa CUF akidai kuwa kesi ya Ponda ni ya ardhi hivyo ingepelekwa mahakama ya ardhi, je ana hoja au ushabiki na yeye? Embu wansheria tupeni elimu kidogo you learned brothers and sisters
Ingia katika uislam halafu utajuaBado hujanijibu kwa nini .hivi vigezo gani vinatumika kumpata shehe ? Naomba unijibu sitaki jazba
Angalau wamekufa , hawakufa kwenye zinaa wala ugonjwa wa UKIMWI NA UKANDA WA JESHI. KILA BINAADAMU ATAKUFA. KIZURI ZAIDI WAMEKUFA WAKIWA WAISLAM JAMBO AMBALO NI KHERI KUBWA KATIKA UISLAMwakombozi wa waislam Gadafi,Mullah,Osama,Sadam,Chemical Ali ivi sasa ni marehemu na wamekufa vifo vya aibu.
Imani inatutaka tuwakumbuke maskini, wagonjwa, wajane, yatima, wenye ulemavu, walioko magerezani, na wenye uhitaji.
Amani kwenu wote, wenye dini na msio na dini. Wakatabahu!
Ingia katika uislam halafu utajua
Angalau wamekufa , hawakufa kwenye zinaa wala ugonjwa wa UKIMWI NA UKANDA WA JESHI. KILA BINAADAMU ATAKUFA. KIZURI ZAIDI WAMEKUFA WAKIWA WAISLAM JAMBO AMBALO NI KHERI KUBWA KATIKA UISLAM