Malaria Sugu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2009
- 2,653
- 266
Hawa hawa akina ponda ndio waliofanya jk apate ushindi baada ya wakiristo kuasi ccm 2010.nakumbuka walipita mikoa ya pwani kumnadi jk kweli wanasaisa hawaaminiki. Hata kikwete amekubali kutumikia mfumo?