Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
watii mamlaka kama chadema wanavyotii. mwehu.Tena tuwaombee dua wasitoke kabisa huko rumande, mpaka watakapojua nini maaana ya kutii mamlaka
Labda duwa ya albadiri.
Ilibidi wawe wamekalia chupa wakiwa ndani ya karandinga.
Wakatabahu, amani kwenu....takbir. Tuwaombee duwa ndugu zetu.
ya tawfiq,ya taqwa,ya tashrifu,ya sai baba,ya dar express,ya mtei......
Toka lini watuhumiwa wa uhalifu wakaombewa duwa?
Mpitagwa-You're the hero. Ushabiki hautasaidia kujenga tanzania ya amnani vinginevyo tukubaliane na Sheikhe Ponda na wengine katika waislam kuwa kuna dhuluma ya wazi kutoka kwa wakiristo na serikali dhidi yao, vinginevyo sioni sababu ya wakiristo kufurahia mateso ya waislam-mbona kibaka akiua au kuiba haki za binadamu zinatafutwa?
sasa sheria= Lipumba yuko sahihi kabisa si ushabiki-kesi ya ponda ni kuvamia kiwanja-kuna mwenye mali (mlalamikaji-ndo anastahili kufungua kesi mahakama ya ardhi kudai arejeshewe kiwanja chake). Lkn pia kuna upande wa pili ambao polisi wameusimamia kuwa amevamia na kuhatarisha amani hivyo kama jamhuri ina haki ya kushitaki kwa kuhatarisha amani. Lkn wakikosea na kushitaki kwa kunvamia kiwanja tu imekula kwao.
vile vile kesi inayomkabili kwa maeneo hayo mawili -mwenye mali kushitaki au polisi (kama jinai) bado makosa hayo yote yana haki ya dhamana tena yenye masharti nafuu kabisa, la ajabu DPP kazuia dhamana bila hata maelezo ya kina na yenye msingi wa kisheria. Utashi wa kuatarisha amani lazima uthibitishe kwa sababu za msingi ambazo mahakama inaridhika nazo, lkn kuwa DPP ana nguvu ya kusheria kuzuia bila kutoa sababu mahakama inakosa uwezo wa kuhoji uhalali wa amri ya DPP. Hapa utawala wa kisheria unatia shaka kwenye sheria zetu. Uhuru wa Mahakama unaingiliwa na Utawala-utengano wa kutegemeana wa mihimili ya dola unakosekana )separation of powers) bali kuna kuwapo na mhimili mmoja kuonekana juu ya mingine (serikali kuwa juu ya mahakama na bunge).
Ikiwa hakuna sababu za wazi hatari yake ndo wananchi kufikiria kuwa kuna dhuluma bila sababu ya msingi. Huo ndo ubinadamu-akikosa maelezo ya kina na ya kutosheleza haraka sana anahisi kudhulumiwa.
Bahati mbaya zaidi wa TZ tumeegemea mno kwenye kejeli hata pale ambapo hakuna sababu ya kufanya kejeli =kwenye hali tete kama hii tunahitaji zaidi maoni ya kujenga badala ya kubomoa. Umoja haujengwi kwa kukejeliana hususan kwa misngi ya dini. Iko siku tutajikuta tunalia na hakuna wa kutunyamazisha maana itakuwa aliyedhulumiwa na aliyedhulumu wote mumomumo.
Forum ingetumika kuimarisha maelewano na siyo kuyabomoa
Wakatabahu, amani kwenu....takbir. Tuwaombee duwa ndugu zetu.
Kwenye hii kesi ya Ponda kuna kitu cha kujifunza tatizo tunachukulia kishabiki. Kuna mwanasheria ambaye anaweza kujitolea kutuelezea kidogo, Kesi inayomkabili Ponda ni nini, na kwanini hawapewi dhamana? Nilimskia Lipumba wa CUF akidai kuwa kesi ya Ponda ni ya ardhi hivyo ingepelekwa mahakama ya ardhi, je ana hoja au ushabiki na yeye? Embu wansheria tupeni elimu kidogo you learned brothers and sisters