Ponda na wenzake warudishwa rumande, kesi yapigwa tarehe

Ponda na wenzake warudishwa rumande, kesi yapigwa tarehe

double standard??kuna yule babu ajuza padre mfukuzwa mwizi wa mke wa mtu yupo tu anazurura mitaani akati anahusika na kifo cha mwangosi naskia alituma meseji kuwa atafanya mauaji kwa IGP
 
Mleta mada ni mbabaishaji, hujatoa maelezo ya kutosha ya lini kesi hiyo imepangwa, kama hakimu ni yule yule ambaye kei si yake na sababu za kunyimwa dhamana ni nini????

Hapa message ni kuwa dhamana haikutolewa hayo mengine katafute na wewe, usitake kutafuniwa
 
Yani mimi niingie kwenye dini ambayo viongozi wake wengi ni mambumbumbu na wapumbavu? On my dead body
hahaha. kama viongozi waislam mambumbu, amini uislam usingalifika tz au ungalikuwa ushapotea, maana watawala wote wanapiga vita uislam lkn bado ndio kwanza unashika kasi
 
Imani hiyo ndiyo inawatuma wakachome makanisa,
Waibe mali za kanisani. Wale mikate ya kanisani.

wapige bomu misikitini, wanajisi vitabu vya imani nyingine. wa watese yeyote mwenye mwonekano wa kiislam. hii ni imani ipi?
 
sasa huyo mpumbavu, standard7, mkosa haya,mchonganishi,mfitini,mzandiki,gaidi,mvuruga amani,msema hovyo,hayawani mwenye ibilisi, Ponda yuko kundi lipi kati ya hayo? Bila shaka na wewe ni standard 7 km Ponda ndio maana ni mwepesi wa kushawishika. sisi waislam tuliobahatika kutambua nini umuhimu wa shule hatuwezi kumfuata mpuuzi huyo. Ngoja anyee ndooo tu maana ni mchafuzi wa amani na tena kwa elimu kiduchu sana pumbavu zake

unapojifanya mwislamu, ndio Unadhani utakubalika.

muislam wa kweli sio WeWe.

WEWE ni KAFIRI.
 
alieweka post hiii anachekesha kweli wewe wataka tuwaombee wahalifu...wapi uliona hilo linatokea? tunaombea wahalifu wanaopaswa kufungwa maisha kabisa? use common sense
 
Kwenye hii kesi ya Ponda kuna kitu cha kujifunza tatizo tunachukulia kishabiki. Kuna mwanasheria ambaye anaweza kujitolea kutuelezea kidogo, Kesi inayomkabili Ponda ni nini, na kwanini hawapewi dhamana? Nilimskia Lipumba wa CUF akidai kuwa kesi ya Ponda ni ya ardhi hivyo ingepelekwa mahakama ya ardhi, je ana hoja au ushabiki na yeye? Embu wansheria tupeni elimu kidogo you learned brothers and sisters

Ponda hajapewa dhamama sababu mkurugenzi wa mashtaka ya jinai (DPP) amefaili certificate kuwa asipewe dhamana hiyo ni kwa mujibu wa Sheria ya Mwenendo wa Mashtaka ya jinai ambapo kuna kifungu kinampa DPP mamlaka hayo hata kama kosa husika linastahili dhamana na sababu hapa zinaweza kuwa za kiusalama,maslahi ya umma n.k.

Huyo Lipumba nae hata hajui anachokiongea,moja kati ya mashtaka ya Ponda ni Criminal Tresspass, hii maana yake ni kuingia kwa jinai kwenye ardhi ya mtu mwingine,kosa hilo haliwezi kwenda mahakama ya ardhi kwani haina mamlaka ya kusikiliza kesi za jinai, hapo ilipo ndio mahala pake mkuu na Segerea ndio makazi ya yeyote anayekataa kutii sheria za nchi.
 
Double standard?kuna yule babu ajuza padre mfukuzwa mwizi wa mke wa mtu yupo tu anazurura mitaani akati anahusika na kifo cha mwangosi naskia alituma meseji kuwa atafanya mauaji kwa IGP......

We ni kilaza wa mwisho hapo Dr. Kahusikaje we kama unaona kaonewa jitokeze baada ya swala leo acha kuingiza watu wasiohusika huna la kufanya kanywe urojo ulale masaburi mkubwa.
 
unapojifanya mwislamu, ndio Unadhani utakubalika.

muislam wa kweli sio WeWe.

WEWE ni KAFIRI.

Hivi hata waislamu sio makafiri kwa wakristo? Lakini hii tabia ya kujiona bora kuliko yeyote aliyeumbwa na Muungu inatoka wapi?
 
Hivi hata waislamu sio makafiri kwa wakristo? Lakini hii tabia ya kujiona bora kuliko yeyote aliyeumbwa na Muungu inatoka wapi?

kweli Wewe unatatizo, umekurupuka huko ukaja kujibu hoja yangu bila Hata kuangalia nimemjibu nani na kwa lipi?


sipendi niaamini kuwa Hakuna binadamu bora isipokuwa tu kwa Yule mwenye maadili mema na mtiifu na penda watu.


unataka kusema binadamu mchafu, katili ni sawa na binadamu mzuri?
 
Back
Top Bottom