Ponda na wenzake warudishwa rumande, kesi yapigwa tarehe

Ponda na wenzake warudishwa rumande, kesi yapigwa tarehe

Ponda hajapewa dhamama sababu mkurugenzi wa mashtaka ya jinai (DPP) amefaili certificate kuwa asipewe dhamana hiyo ni kwa mujibu wa Sheria ya Mwenendo wa Mashtaka ya jinai ambapo kuna kifungu kinampa DPP mamlaka hayo hata kama kosa husika linastahili dhamana na sababu hapa zinaweza kuwa za kiusalama,maslahi ya umma n.k.

Huyo Lipumba nae hata hajui anachokiongea,moja kati ya mashtaka ya Ponda ni Criminal Tresspass, hii maana yake ni kuingia kwa jinai kwenye ardhi ya mtu mwingine,kosa hilo haliwezi kwenda mahakama ya ardhi kwani haina mamlaka ya kusikiliza kesi za jinai, hapo ilipo ndio mahala pake mkuu na Segerea ndio makazi ya yeyote anayekataa kutii sheria za nchi.
Nimekusoma kiongozi na kwakweli mamlaka ya DPP ni makubwa sana. Inatakiwa kwenye katiba ijayo DPP aizinishwe na bunge maana nakumbuka kuna waingereza wawili waliua dada mmoja baharini DPP akasema serikali haina interest na hiyo kesi. Kesi ilifutwa wale wazungu wakaenda zao kwao
 
CHADEMA wanatii mamlaka, mamlka pekee inayotakiwa kuheshimiwa na kutiiwa ni KANISA
sawa kabisa mkuu, sikujua kama wewe ni kichwa kiasi hicho na hata kufikia kusema ukweli kwa 100%. nadhani kimemisi kitu kimoja, naongezea some kwenye red
 
Back
Top Bottom