Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Wanabodi,
Makala yangu gazeti la Nipashe ya leo 01/12/2024.
Paskali
Makala yangu gazeti la Nipashe ya leo 01/12/2024.
Paskali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimebaki mdomo wazi kwa namna kaka Paschal ulivyopanga maneno mengi kana kwamba haujui kilichotokea, kuna mtu aliwahi niambie wewe ni kada. Mwanzo nilidhani wewe ni mwandishi wa habari mbobezi unayeweza kusema nyeusi kuwa nyeusi na si vinginevyo. Kwa makala hiyo umejipambanua kuwa wewe ni kada mtiifu. Mwanzoni wakati mwenda zake anaingia ulionesha kaukomavu kidogo, naona sasa umekubali yaishe. Haya Bwana hayo ni maisha na maamuzi yako binafsi, ila umenivunja moyo sana. Kwaheri HAKI karibu dhuluma
Uchawa tu
Labda wewe ni🌈
Ndio kutafuta cheo au?