Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
- Thread starter
- #21
Tujifunze kuwa na shukrani kwa madogo tupatiwe makubwa!, sijasema the playing field is level, nimepongeza hatua za kurekebisha uwanza ukae level in future!.Hapo hakuna uwanja ulio sawa Paskali. Hivyo vyama ni fake, Umeshasikia hao wagombea zaidi ya mzee wa ubwabwa? Ushauri wangu kwako, Uwe upande wa haki Paskali, unaona vitu vingi vinapelekwa vibaya na haramu.
P