Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani hujaelewabola - bora
Kumbe.? Ndio maana wanawajaza upepo wasiojitambua. Sasa acha wapigweWajf wengi humu hawajui kama wamasai waliopo Ngorongoro ni geresha tu, hao jamaa wamejitoshereza kwa kila kitu, yaani kule polini ni sehemu ya kuhifadhia mifugo na kujineemesha kutokana na hifadhi
Maasai hao wamewekeza sana Arusha mjini, karatu na Loliondo, wana majumba, magari na mifugo mingi sana na baadhi yao wamesoma na wana elimu ya juu, ila wanawatumia wale walioitwa primitive kujineemesha kimaisha/kiuchumi
👉🏾Kaa chonjo.
Mkuu mimi siku zote huwa ni wa mwisho kushangilia jambo niwe nalifahamu au silifaham, sababu unatakiwa usikilize kutoka pande zote alafu ongeza na ulilonalo.Kumbe.? Ndio maana wanawajaza upepo wasiojitambua. Sasa acha wapigwe
Mkuu nimekuelewa. Mimi nimuumini wa kuwahamisha toka mwanzo hili jambo lilipoanza nilikua naamini wahamishwe. Kama usemavyo kuwa iwe mbuga inauzwa au vyovyote lakini kubwa ni wazi kuwa mbuga inapaswa kulindwa na ili ilindwe lazima watu hao wahamishwe kwa maana wanazidi kuzaliana na wengine wanahamia hapo hivyo huo uwingi wao na shughuli zao zitapelekea mbuga kutoweka. Kitu ambacho ni jambo baya katika utalii wetuMkuu mimi siku zote huwa ni wa mwisho kushangilia jambo niwe nalifahamu au silifaham, sababu unatakiwa usikilize kutoka pande zote alafu ongeza na ulilonalo.
Haya mambo ya wamasai tunatakiwa kuwa makini sana, iwe mbuga imeuzwa au haijauzwa bali kuna mambo tunapaswa kuchukua chujio na kuchakata.
Kweli; hapo kuna watu wanaofaidika na primitive maasai na kuna wanaoumia kwa sababu ya ujinga wao.
Mkuu,Mkuu nimekuelewa. Mimi nimuumini wa kuwahamisha toka mwanzo hili jambo lilipoanza nilikua naamini wahamishwe. Kama usemavyo kuwa iwe mbuga inauzwa au vyovyote lakini kubwa ni wazi kuwa mbuga inapaswa kulindwa na ili ilindwe lazima watu hao wahamishwe kwa maana wanazidi kuzaliana na wengine wanahamia hapo hivyo huo uwingi wao na shughuli zao zitapelekea mbuga kutoweka. Kitu ambacho ni jambo baya katika utalii wetu
😡😡😡😡😡😡😠😠😠😠😠😠Ieleweke vizuri kabisa kuwa hakuna Mmasai aliyeondoka huko kwa Hiari.
Hiari gani hiyo?
GENOCIDE IS GENOCIDE
Pole na Huzuni.😡😡😡😡😡😡😠😠😠😠😠😠
Nakuhakikishia kuwa huu ndio mwisho wa wakenya na vibaraka wao kuishi, kulima na kulisha mifugo yao katika ardhi yetu kwa kisingizio cha umasai wa mchongo. Serikali yetu imeendelea kuwapuuza wanaharakati koko wa Kenya kama vile hakuna kinachoendelea.Pole na Huzuni.
Hawanihusu.Nakuhakikishia kuwa huu ndio mwisho wa wakenya na vibaraka wao kuishi, kulima na kulisha mifugo yao katika ardhi yetu kwa kisingizio cha umasai wa mchongo.
Siyo swala la uelewa ni swala la kukemea nyie kuharibu lugha yetu adhimu ya Kiswahili..Kwani hujaelewa
Sasa hao waliokubali kuhamishwa ni wepi? Wale primitive au hao matajiri?? Na vipi kuhusu wafanyakazi wa hifadhi ambao pia wana mifugo yao humo hifadhini?Mkuu mimi siku zote huwa ni wa mwisho kushangilia jambo niwe nalifahamu au silifaham, sababu unatakiwa usikilize kutoka pande zote alafu ongeza na ulilonalo.
Haya mambo ya wamasai tunatakiwa kuwa makini sana, iwe mbuga imeuzwa au haijauzwa bali kuna mambo tunapaswa kuchukua chujio na kuchakata.
Kweli; hapo kuna watu wanaofaidika na primitive maasai na kuna wanaoumia kwa sababu ya ujinga wao.
Habarini za Asubuhi
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza binafsi napenda kuwapongeza wamasai walio amua kuondoka Ngorongoro kwa hiari yao kwasababu pale Ngorongoro hawana cha kurithi ni bola ata waende Msomela ata watoto na wajukuu watajua makazi ya vizazi vilivyopita yako wapi na watakua na cha kurithi watakua na mashamba nk kuliko kukaa hifadhini Ngorongoro bila kujenga nyumba nzuri bila umeme hakuna kuendeleza chochote maana sheria za hifadhi haziruhusu
Nawapongeza sana watafurahia maisha pale Msomela
Naomba kuwasilisha.
Kwenye hoja ya kuzaliana mimi naona msingi wake ni kwamba NCA ni fixed area, since walivyolitangaza kuwa ni conservation area kwa mara ya kwanza wakati wa ukoloni to-date. Au huwa wanapanua hilo eneo la uhifadhi mara kwa mara? On the other hand, watu humo ndani wamekuwa wanaongezeka na am sure sensa ya mwaka huu itaonyesha wameongezeka. Sasa tofauti na maeneo mengine, watu wamekuwa na tabia ya kuhama na kwenda kutafuta maisha sehemu mbalimbali nchini. Mfano ukienda Katavi leo hii utakuta wasukuma wengi sana, na kuna vijiji wamevi dominate. So kwa maoni yangu humo ndani hifadhini kuna kundi ambalo limekuwa linakandamizwa na huo mfumo...so hao kwa nionavyo kuhamia kwingine ni much better...Mkuu,
Umang'ang'ania "Wanazidi kuzaliana" kama vile ni jambo baya. Umeshajiuliza au kujadili na Hao "wanyama" wanaozaliana huko nao Wahamishwe?
Unashabikia utalii wakati hakuna hoja yeyote ile iwe ya Serikali, ya Viongozi, Jumuiya za kimataifa ambayo inadai kuwa Uhamisho wao ni kwa faida ya Utalii.
Una yako/yenu. msije mkaja kutalii mafuvu.
Amani ikufikie
Wacha uongo. Stop the Disinformation. Stop the Misinformation. and STOP the GENOCIDE.