Pongezi kwa baadhi ya Wamaasai

Pongezi kwa baadhi ya Wamaasai

Hawanihusu.
Ardhi siyo yenu.

...wala sio ya Wakenya.

"NGORONGORO NI YA WAMASAI"

STOP THE GENOCIDE
Na kweli wamasai wetu hawakuhusu wewe mkenya na ardhi yetu pia haiwahusu nyinyi Wakenya. Ila mimi eneo lolote lilo ndani ya ardhi ya Tanzania linanihusu. Ndo maana nina uwezo wa kwenda kuishi popote iwe Ngorongoro, Handeni, Tunduma nk bila pasport wala visa. Na pia kama haujui wewe Mkenya wa kimasai.. Hapa kwetu ardhi yoyote ya Tanzania ni mali ya serikali chini ya raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ndio maana magaidi kutoka Kenya au Somalia mkivamia huko Loliondo na silaha zenu, basi mtapambana na jeshi la wananchi wa Tanzania, ambalo limeundwa na watanzania kutoka mikoa mbali mbali ya Tanzania, na sio wamasai au wanavijiji wa eneo hilo. Umeelewa wa Mkenya wa kisumu?
 
Ieleweke vizuri kabisa kuwa hakuna Mmasai aliyeondoka huko kwa Hiari.

Hiari gani hiyo?

GENOCIDE IS GENOCIDE
Mbona unatia shaka kwenye uelewa wako ndugu maana wamasai wenyewe wanasema wanaondoka kwa hiari na wewe tena unasema hakuna anae ondoka kwa hiari io imekaaje.?
 
Mkuu,
Umang'ang'ania "Wanazidi kuzaliana" kama vile ni jambo baya. Umeshajiuliza au kujadili na Hao "wanyama" wanaozaliana huko nao Wahamishwe?

Unashabikia utalii wakati hakuna hoja yeyote ile iwe ya Serikali, ya Viongozi, Jumuiya za kimataifa ambayo inadai kuwa Uhamisho wao ni kwa faida ya Utalii.

Una yako/yenu. msije mkaja kutalii mafuvu.

Amani ikufikie

Wacha uongo. Stop the Disinformation. Stop the Misinformation. and STOP the GENOCIDE.
Mkuu acha kujionyesha kwa jamii ni kwa jinsi gani uelewa wako upo chini sasa wanyama ata wakizaliana unataka wahamishiwe wapi wakati hapo ndio makazi yao lakini masai wao inatakiwa wahamie kwa binadamu wenzao ili ata kama wakizaliana kusiwe na muingiliano mkubwa na wanyama
 
Habarini za Asubuhi

Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza binafsi napenda kuwapongeza wamasai walio amua kuondoka Ngorongoro kwa hiari yao kwasababu pale Ngorongoro hawana cha kurithi ni bola ata waende Msomela ata watoto na wajukuu watajua makazi ya vizazi vilivyopita yako wapi na watakua na cha kurithi watakua na mashamba nk kuliko kukaa hifadhini Ngorongoro bila kujenga nyumba nzuri bila umeme hakuna kuendeleza chochote maana sheria za hifadhi haziruhusu

Nawapongeza sana watafurahia maisha pale Msomela

Naomba kuwasilisha.
Hao unaowapongeza ni kenge kwenye msafara wa mamba
 
Mbona unatia shaka kwenye uelewa wako ndugu maana wamasai wenyewe wanasema wanaondoka kwa hiari na wewe tena unasema hakuna anae ondoka kwa hiari io imekaaje.?
Huyo jamaa ni mmasai wa mchongo kutoka Kenya. Hawa watu mbona siku hizi ni rahisi sana kuwatambua mkuu. Kama haukumtambua kwa matendo yake basi utamtambua kwa maneno yake nk. Easy sana kuwajua hawa watu. Kumuelewesha mtu aliekuwa anataka kufanya ardhi yetu shamba la bibi na baadae ikatumika nguvu kumrudisha huko alipotumwa na mabwanyenye wake sio jambo zuri kwa yeye kukuelewa.
 
Mbona unatia shaka kwenye uelewa wako ndugu maana wamasai wenyewe wanasema wanaindoka kwa hiari na wewe tena unasema hakuna anae ondoka kwa hiari io imekaaje.?
Shaka ndio inayotakikana na hili.
Kweli, kunakuwa na msukumo wa aina fulani kuwa na hiari. Mifano ipo mingi, fanya hiari kutafuta.

...Unataka kuniaminisha kuwa Wamasai waliamka tu na kusema wanataka kuhama kwa Hiari...tena waende kwa wakuu wa nchi na kudai hilo?

Hivyo ndivyo ilivyokaa.
 
watakua na cha kurithi watakua na *mashamba * nk kuliko kukaa hifadhini Ngorongoro bila kujenga nyumba nzuri bila umeme hakuna

Hii inaonesha hata haujui asili ya wamasai, thamani ya kutunza mila na desturi. Maendeleo sio kuharibu asili na desturi za watu.
Hivi kuna aina ngapi za wamasai maana huku morogoro pamoja na kuwa na ngombe wengi pia wanajenga nyumba nzuri.
 
Habarini za Asubuhi

Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza binafsi napenda kuwapongeza wamasai walio amua kuondoka Ngorongoro kwa hiari yao kwasababu pale Ngorongoro hawana cha kurithi ni bola ata waende Msomela ata watoto na wajukuu watajua makazi ya vizazi vilivyopita yako wapi na watakua na cha kurithi watakua na mashamba nk kuliko kukaa hifadhini Ngorongoro bila kujenga nyumba nzuri bila umeme hakuna kuendeleza chochote maana sheria za hifadhi haziruhusu

Nawapongeza sana watafurahia maisha pale Msomela

Naomba kuwasilisha.

Wameondoka kwa hiari yao, lakini kuna wabongo wameumia na kukunja nyuso zao utadhani wao ndio wanahamishwa. Yani mmasai anachekelea na kufurahia kuhamia handeni huku mmbongo wa JF, YOUTUBE na INSTA anaumia na kuteseka 😁😁😁

Hongereni sana wamasai.
 
Mkuu acha kujionyesha kwa jamii ni kwa jinsi gani uelewa wako upo chini sasa wanyama ata wakizaliana unataka wahamishiwe wapi wakati hapo ndio makazi yao lakini masai wao inatakiwa wahamie kwa binadamu wenzao ili ata kama wakizaliana kusiwe na muingiliano mkubwa na wanyama
Uko sawa mkuu,
Haiwezekani kuwa na uelewa mkubwa kuona au kudadavua yanayojiri huko si haki kwa Jamii ya Wamasai. Hakuna haja ya kuwa Dakitari...P.H.D indeed not a rocket science. Nitakupa kongole kwa hilo.

Mpaka hapo, na hoja yangu ya 'Wanyama wanaozaliana wahamishwe' ni pale unapotokea/kuonekana kuwa hoja za wanaoshabikia Uangamizaji wa Wamasai ni kinzani-mara wanataka waondolewe kwa kuchafua mazingira kwa vile 'Wanazaliana hovyo', kwamba eneo wanaloishi ni eneo la "Urithi wa Dunia", kwamba wanahitaji kukombolewa umasikini, n.k .nk-lakini husikii wakisema Wamasai wanataka nini na hiyo ni Kubaki katika ardhi katika maeneo yao yaliyo humo NGORNGORO....
 
Mkuu acha kujionyesha kwa jamii ni kwa jinsi gani uelewa wako upo chini sasa wanyama ata wakizaliana unataka wahamishiwe wapi wakati hapo ndio makazi yao lakini masai wao inatakiwa wahamie kwa binadamu wenzao ili ata kama wakizaliana kusiwe na muingiliano mkubwa na wanyama
Hayo machache juu ni moja ya kinzani za hoja za washabiki wa Uangamizaji wa Wamasai. Je ulishwahi kusikia wao wakilalama na muingiliano na Wanyama hao....kwa zaidi ya karne ziliotupita wengi wetu?
 
Mkuu acha kujionyesha kwa jamii ni kwa jinsi gani uelewa wako upo chini sasa wanyama ata wakizaliana unataka wahamishiwe wapi wakati hapo ndio makazi yao lakini masai wao inatakiwa wahamie kwa binadamu wenzao ili ata kama wakizaliana kusiwe na muingiliano mkubwa na wanyama
kuna mnyama mweny hati ya eneo lolote hapo NCA
 
HAo wachache watakao leta ukaidi nashauri JWTZ wapewe special opersheni kuwaondoa
La hasha, sito toa ufahamu, kuwepo na uwezekano hata wa baadhi yao(Jeshi la Wananchi) Kujiuzulu. Hata hivyo kwa Taarifa zilizopo ni Polisi Wanaohusika. Wapo walio athirika kibinafsi na wapo walioathirika kwa matendo...kwa uhakika sio jambo jema kuona wakipoteza maisha yao-vilevile siwezi kujifanya au kupuuza kujeruiwa au vifo kwenye pande zote.

Amani ikufikie
 
Wajf wengi humu hawajui kama wamasai waliopo Ngorongoro ni geresha tu, hao jamaa wamejitoshereza kwa kila kitu, yaani kule polini ni sehemu ya kuhifadhia mifugo na kujineemesha kutokana na hifadhi

Maasai hao wamewekeza sana Arusha mjini, karatu na Loliondo, wana majumba, magari na mifugo mingi sana na baadhi yao wamesoma na wana elimu ya juu, ila wanawatumia wale walioitwa primitive kujineemesha kimaisha/kiuchumi

👉🏾Kaa chonjo.
Well Noted Mkuu....
 
Na kweli wamasai wetu hawakuhusu wewe mkenya na ardhi yetu
Hayo siyo niliyasema
Hapo chini ni maneno yako.
Nakuhakikishia kuwa huu ndio mwisho wa wakenya na vibaraka wao kuishi, kulima na kulisha mifugo yao katika ardhi yetu kwa kisingizio cha umasai wa mchongo.
Usinijaze maneno na Kuhisi
Unasomeka bila ya mihemuko na fedhea, pamoja na Kujifanya unanijua....
Punguza Huzuni.
 
watakua na cha kurithi watakua na *mashamba * nk kuliko kukaa hifadhini Ngorongoro bila kujenga nyumba nzuri bila umeme hakuna

Hii inaonesha hata haujui asili ya wamasai, thamani ya kutunza mila na desturi. Maendeleo sio kuharibu asili na desturi za watu.
Asil ipi inaharibiwa, wakati wamasai Kwa Sasa wapo kila sehemu na wanafanya vitu tofauti na asili Yao. Maisha ynabadilika na wana Haki ya kusaidiwa
 
Wanaondoka ni wamasai tena kwa hiari yao, wanaoumia na kuteseka ni wengine tena sio wamasai 😁😁😁 hii nchi ina vituko acheni tu.

Hongereni sana masai
 
Mkuu,
Umang'ang'ania "Wanazidi kuzaliana" kama vile ni jambo baya. Umeshajiuliza au kujadili na Hao "wanyama" wanaozaliana huko nao Wahamishwe?

Unashabikia utalii wakati hakuna hoja yeyote ile iwe ya Serikali, ya Viongozi, Jumuiya za kimataifa ambayo inadai kuwa Uhamisho wao ni kwa faida ya Utalii.

Una yako/yenu. msije mkaja kutalii mafuvu.

Amani ikufikie

Wacha uongo. Stop the Disinformation. Stop the Misinformation. and STOP the GENOCIDE.
Wewe ni kiazi. Kwemye hifadhi ya wanyama wakuhamishwa ni mnyama au binadamu..? Hembu fikiria tena mkuu. Umeandika utopolo mno. Wanyama hata wazaliane hapo wakizidi wakuchinjwa watachinjwa sawa. Au hujui kuna mabucha ya nyama pori.?
 
Wewe ni mpuuzi mmoja ambae unataka muachwe hapo ili hali sheria za nchi zinaeleweka. Serikali ikikuambia hama lazima uhame tena mnaa kubembelezwa what..? Watu mara na mtwara walihamishwa bila kubembelezwa kama nyie wamasai. Utake usitake unahamishwa. Na hakuna kitu utafanya zaidi ya kuhamishwa
Mkuu,
Umang'ang'ania "Wanazidi kuzaliana" kama vile ni jambo baya. Umeshajiuliza au kujadili na Hao "wanyama" wanaozaliana huko nao Wahamishwe?

Unashabikia utalii wakati hakuna hoja yeyote ile iwe ya Serikali, ya Viongozi, Jumuiya za kimataifa ambayo inadai kuwa Uhamisho wao ni kwa faida ya Utalii.

Una yako/yenu. msije mkaja kutalii mafuvu.

Amani ikufikie

Wacha uongo. Stop the Disinformation. Stop the Misinformation. and STOP the GENOCIDE.
Utahamishwq kwa lazima mmasai wewe na hakuna kitu utafanya. Eti ngoro ngoro ni ya wamasai unasemaje..? 🤣🤣🤣 ardhi yote ya Tanzania ni mali ya serikali mkuu. Usinichekeshe
 
Back
Top Bottom