Pongezi kwa Barnaba Classic kwa kazi hii

Pongezi kwa Barnaba Classic kwa kazi hii

kedrick

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2015
Posts
5,080
Reaction score
4,914
Leo kwenye pitapita zangu youtube ghafla nikakutana na huu wimbo unaitwa Tunafanana kaimba msanii Barnaba kusema kweli toka uvunguni wa moyo wangu wimbo huu ni mzuri sana kimashairi na melody Barnaba kautendea haki na ukija upande wa beat Deey Classic nae amewakilisha vizuri.

Video imefanywa na Travellah nae hajamuangusha kwani graphics, rangi, location na hata video queen amefit kwenye video

Huu jamaa ana kipaji sana japo wabongo wanamchukulia simple angekuwa kwa wenzetu angekuwa mbali sana

N.B mie sio Barnaba na wala sijatumwa na nae kuja kumpa promo ni mtizamo wangu tu.


 
Kweli kijana anafanya kazi nzuri sana mnooo basi tu hii ni bongo ... Nampenda sana Barnaba
 
Mandhar nzur sana,ila wimbo wa kawaida sana niki compare na nyimbo zake za nyuma,hasa wimbo wake wa nyuma kabla ya huu wa LoverBoy
 
Mi namkubali tu Dizzoro,hao wengine naona kawaida.
 
Back
Top Bottom