Pongezi Kwa Dr D. Kamala Kwa Kutetea Maslahi Ya Tanzania

Pongezi Kwa Dr D. Kamala Kwa Kutetea Maslahi Ya Tanzania

Kila mtanzania mwenye akili atampongeza Dr. Kamala kwa uzalendo aliuonyesha. Jasusi kama kweli ni mtanzania basi mtazamo wako una walakini. ni jambo la wazi kabisa mambo ya land grabing yaliyotokea Kenya yatatokea hapa kama tutalegea katika hili.
Wabongo wananifurahisha sana kwa umakini wanaouonyesha juu ya hili jinamizi EAC, nadhani ni kwa sababu 1977 sisi ndio tulikuwa victims. Naamini itafika hata huo mpango mzima wa EAC utakufa, maana Tz itafika hatua itasema basi, na kwa kuwa jinamizi lenyewe lililenga kuingiza Tz kwenye dhahama----EAC itayeyuka. Waganda na wakenya sasa wanagombania kisiwa kimoja ziwa victoria...definetely sio watu ambao wako comaptible kuunda federation.

Mungu ibariki Tanzania, Mungu muokoe Jasusi kwenye umangungo wa msovero.
 
Kila mtanzania mwenye akili atampongeza Dr. Kamala kwa uzalendo aliuonyesha. Jasusi kama kweli ni mtanzania basi mtazamo wako una walakini. ni jambo la wazi kabisa mambo ya land grabing yaliyotokea Kenya yatatokea hapa kama tutalegea katika hili.
Wabongo wananifurahisha sana kwa umakini wanaouonyesha juu ya hili jinamizi EAC, nadhani ni kwa sababu 1977 sisi ndio tulikuwa victims. Naamini itafika hata huo mpango mzima wa EAC utakufa, maana Tz itafika hatua itasema basi, na kwa kuwa jinamizi lenyewe lililenga kuingiza Tz kwenye dhahama----EAC itayeyuka. Waganda na wakenya sasa wanagombania kisiwa kimoja ziwa victoria...definetely sio watu ambao wako comaptible kuunda federation.

Mungu ibariki Tanzania, Mungu muokoe Jasusi kwenye umangungo wa msovero.
Jamani, nimewaombeni mnionyeshe uwalakini wangu. Mimi ni Mtanzania halisi na vile vile Pan Africanist. Kama ni matatizo ya mpaka hata sisi na Waganda tulikuwa na ugomvi wa mpaka kule N.w. Tanzania. Lakini hiyo isiwe kigezo cha kutoona the full picture. Unajua, ni rahisi kumpongeza kiongozi anaye appeal to our base instincts.Tanzania hatuwezi kamwe kuwa na land grabbing problem kwa sababu matatizo yaliyokuwepo Kenya wakati wa ukoloni hayapo Tanzania. Na hata baada ya ukoloni kilichotokea ni kwamba badala ya Kenyatta kuwapa ardhi raia wake ambayo Uingereza iliwalipia wale walowezi waliokuwa wanaihodhi Kenyatta alijilimbikizia mwenyewe na marafiki zake hiyo ardhi. Ndiyo maana mpaka leo tatizo la ardhi nchini Kenya ni kama la Zimbabwe. Lakini hainiingii akilini kuwa wakati viongozi wetu wanawabembeleza Makaburu waje wapewe ardhi ya bure tunapata kigugumizi ndugu zetu wa damu wanapotaka kutumia ardhi tuliyonayo na ambayo haitumiki. Badala ya kumkaribisha Kaburu kwa nini tusimpe Mnyarwanda au Mkenya ardhi hiyo alime maharage na mahindi? Uwalakini hapo uko wapi? Nielimisheni ndugu zangu.
 
Kwa ufupi Tanzania inalihitaji sana soko la pamoja la jumuiya ya Afrika mashariki lakini si lazima kukubali mapendezo yote bila kuyafanyia uchambuzi wa kina na kuangalia maslahi ya wananchi wa taifa letu yanawanufaisha vipi wanachi.Tanzania ikikubali mapendekezo yote kama yalivyo sasa maana yake ni moja tu,badala ya kupata wawekezaji wa kweli Tanzania itapata mama ntilie,wakulima wadogo wasioweza hata kujitosheleza kwa chakula wenyewe,wazururaji,wezi,matapeli kwaujumla naona hasara zaidi ya faida tunazoweza kuzipata kama tutakubali mapendekezo yote.
Mkuu Jasusi nakubaliana na wewe kwa asilimia zote kwamba tumekuwa na udhaifu wa hapa na pale hasa linapokuja suala la kuwalinda wazawa wa nchi hii lakini hilo halituzui kuwapongeza wale wote walionyesha jitihada walau kidogo za kutetea maslahi ya nchi yetu.
 
Jamani, nimewaombeni mnionyeshe uwalakini wangu. Mimi ni Mtanzania halisi na vile vile Pan Africanist. Kama ni matatizo ya mpaka hata sisi na Waganda tulikuwa na ugomvi wa mpaka kule N.w. Tanzania. Lakini hiyo isiwe kigezo cha kutoona the full picture. Unajua, ni rahisi kumpongeza kiongozi anaye appeal to our base instincts.Tanzania hatuwezi kamwe kuwa na land grabbing problem kwa sababu matatizo yaliyokuwepo Kenya wakati wa ukoloni hayapo Tanzania. Na hata baada ya ukoloni kilichotokea ni kwamba badala ya Kenyatta kuwapa ardhi raia wake ambayo Uingereza iliwalipia wale walowezi waliokuwa wanaihodhi alijilimbikizia mwenyewe na marafiki zake hiyo ardhi. Ndiyo maana mpaka leo tatizo la ardhi nchini Kenya ni kama la Zimbabwe. Lakini hainiingii akilini kuwa wakati viongozi wetu wanawabembeleza Makaburu waje wapewe ardhi ya bure tunapata kigugumizi ndugu zetu wa damu wanapotaka kutumia ardhi tuliyonayo na ambayo haitumiki. Badala ya kumkaribisha Kaburu kwa nini tusimpe Mnyarwanda au Mkenya ardhi hiyo alime maharage na mahindi? Uwalakini hapo uko wapi? Nielimisheni ndugu zangu.

Mkuu we are on the same wevelength.
Kinachotusumbua waafrika especially watzania ni hizi parochial interests. Ok Tanzania we have biggest landmass..lakini inatusaidia vipi? mbona almost nusu ya watu wetu ni masikini wa kutupwa? na wazungu wakija tunawapa ardhi kubwa tuu..ambayo inawanufaisha wao na kutuibia..

Watanzania tunaogopa kivuli chetu wenyewe. Kinachotakiwa ni kuwa na sheria madhubuti zinazotekelezeka. Kitu kikubwa ni kwamba ardhi ni mali ya serikali na sheria zetu ziko wazi. Leo hata Mnyarwanda au mrundi ungempa ardhi kwa miaka 33 au 66 mfano..bado ultimate owner ni serikali. Harafu unless tuondoe swala la uraia, itakuwaje mkenya au mrund achukue ardhi yetu-the so called land grabing?

Tatizo la the so called East African Community..there is too much misinformation out there! Watu hawaambiwi/hawachukui jukumu la kusoma sera za huu muungano wa nchi zetu..tunakwenda kwa stereotype..ohh Rwanda kuna vita, Kenya kuna ukabila. and on and on...

The best we need ni kuwa na viongozi waelewa tuu, tuwe na sheria madhubuti.

Whether we like it or not...hatuwezi kuuzuia utandawazi. Globalization is here to stay. Ni swala la sisi kujipanga. Tujenge viwanda tuweze kushindana na wenzetu. Hatuwezi kuendelea bila kushikana mikono na majirani zetu..Never.

YAANI SIJUI SISI WATANZANIA TUNA TATIZO GANI! Nadhani ndo maana hata viongozi wetu wanatuibia na kutuona malofa..we cant think beyond our noses!

Watu wako so much against EAC lakini ukiangalia kwa umakini..wengi ni woga tuu hawana hoja...lazima tushindane! Hivi mnafikiri watanzania tuna kipi hasa cha kutufanya tufikiri kwamba bila kushirikiana na wenzetu tutapiga hatua? Kwanza what I have seen...bongo hatuna amani ya kweli..ni nidhamu za woga tuu....Otherwise hii imani ingetusaidia kujikomboa kwenye lindi la umasikini unaotuzonga.... Ni aibu kuona leo hata Rwanda inaanza kutuwashia indicator za maendeleo..and the best we do? Yes you are right! Whining about Kagame. Tunahitaji kuwa na sera endelevu na viongozi wenye vision tuache blah blah...
 
Kinachonisikitisha ni kwamba sawa tumekataa hayo mambo muhimu... lakini back office nine tunafanya ili eventually tukilazimika kufanya hivyo tuwe tumejiandaa????

Taifa letu linahitaji sasa kuongozwa na vijana wa not older than 45 years... hawa wengine wa wakati wa ujamaa wameshindwa!
 
Masanja,

..sasa kama Rwanda pamoja na udogo wao wanapiga hatua, hii hoja kwamba Tanzania haitaendelea bila kuungana na Rwanda, na Kenya, inatokea wapi?

..tunachosema sisi ni kwamba tayari kuna sheria na vivutio kwa wawekezaji toka kila pembe ya dunia kuja na ku-invest Tanzania. sasa hawa Wanyarwanda na Wakenya kwanini watulazimishe tubadili sheria zetu za sasa hivi?

..Tanzania inaweza kusimama yenyewe bila kutegemea Rwanda, Kenya, na Uganda. tunazo resources, tunao watu, tunayo ardhi, kinachokosekana ni viongozi wenye dira na wanaojiamini.

NB:

..kama Kenya na Rwanda wana matatizo ya ardhi basi, na kwasababu Tanzania tuna ardhi ya kutupa, suala hilo lishughulikiwe bilaterally. lakini siyo wajifiche nia zao kwa kivuli cha EAC spirit.
 
Last edited:
Masanja,

..sasa kama Rwanda pamoja na udogo wao wanapiga hatua, hii hoja kwamba Tanzania haitaendelea bila kuungana na Rwanda, na Kenya, inatokea wapi?

..tunachosema sisi ni kwamba tayari kuna sheria na vivutio kwa wawekezaji toka kila pembe ya dunia kuja na ku-invest Tanzania. sasa hawa Wanyarwanda na Wakenya kwanini watulazimishe tubadili sheria zetu za sasa hivi?

..Tanzania inaweza kusimama yenyewe bila kutegemea Rwanda, Kenya, na Uganda. tunazo resources, tunao watu, tunayo ardhi, kinachokosekana ni viongozi wenye dira na wanaojiamini.

NB:

..kama Kenya na Rwanda wana matatizo ya ardhi basi, na kwasababu Tanzania tuna ardhi ya kutupa, suala hilo lishughulikiwe bilaterally. lakini siyo wajifiche nia zao kwa kivuli cha EAC spirit.

jokaKuu,
Shida kama anavyoeleza Masanja ni kwamba viongozi wetu hawako serious.
Kwani ni sisi peke yetu tulio na ardhi? Uganda pia ina ardhi kubwa tu na very fertile kwa hiyo hilo tatizo si la Tanzania peke yake. Ningependa nisikie viongozi wetu wakisema Tanzania itafaidikaje kwa kujiunga na jumuiya badala ya kushikilia tu kwamba wanataka ardhi yetu. Kwa sababu unapokubali kufungua soko unakubali kila kitu kinachoendana na soko wazi. Pia najiuliza hivi ni ardhi tu ambayo ni kikwazo? Are there any other issues that Mheshimiwa hajatuambia? Tanzania inapendekeza nini? We need to know all these issues.
 
Kwa vile hajapinga IPTL au Buzwagi unataka asitetee suala la ardhi ya Tanzania? I don't buy your argument...it cuts no eyes to me!

....hivi kuna sehemu nimesema asiitetee ardhi ya Tanzana!!!!!!!........i said it was a cheap shot.......ambazo zinajengwa na mamluki wake hapa JF...........kwa taarifa huu ni msimamo wa serikali uliokuwepo hata kabla Kamala hajawa naibu/waziri wake.............and yes it won't cut eyes of yours since you can't see anyway..........who cares!!................
 
Kenya accuses Tanzania of slowing down integration





Dar says that's not the case, but extra cautionary approach is important

KENYA'S East African Community (EAC) Minister Jeffah Kingi yesterday accused Tanzania outright of frustrating efforts towards the integration of the five EAC member countries into one regional bloc.

Addressing a news conference in Nairobi, Kingi said Kenya, Uganda, Rwanda and Burundi are all feeling frustrated by Tanzania towards the integration agenda.

He accused Tanzania of being a stumbling bloc to integration, citing the recent 19th extraordinary council of ministers meeting held on November 11-12 in Zanzibar where Tanzania rejected several recommendations and stated that it wanted to ''go slow'' on the integration process.

But in a quick reaction to the Kenyan minister's comments, Tanzania's Deputy Minister for East African Co-operation, Mohamed Aboud, refuted such claims insisting that Tanzania remains fully committed to the process, but only wants the transition to be gradual.

It is understood that Tanzania does not support the idea of allowing EAC citizens to use their national identity documents for travel within the community, even though the council of ministers decided on the same in 2002 and 2007 respectively.

Tanzania further opposes the inclusion of a provision to allow nationals of EAC partner states to have access and use of land and buildings in any other state within the community, in accordance with national laws.

Tanzania also opposes the inclusion of a provision for permanent residence in the protocol.

''It is important for Tanzania to reconsider her position in order for the community to actualize its aspirations,'' Kingi asserted.

He described the developments as unfortunate, given that the negotiations for the common market protocol were authorized by the EAC summit in its efforts to take forward the integration agenda.

''Other partner states were very frustrated with the position Tanzania took in the negotiations,'' the Kenyan minister stated.

Speaking to THISDAY in a telephone interview later yesterday, Aboud said Tanzania is well experienced as far as integration is concerned, citing the integration of Tanganyika and Zanzibar to form the United Republic of Tanzania in 1964.

''We are envisaging a people-centred community...the opinions of the people should be respected. Tanzanians have rejected any fast-tracking of the integration process and called for gradual process, and that is our (government) position,'' the deputy minister stressed.

He said other member states had wanted to press on with key issues such as land use and ownership, and freedom of movement in the EAC region, whereas Tanzania wanted these issues to be discussed at a later stage.

''We had agreed that the issues of land ownership and freedom of movement should be set aside for the time being...These issues were to be addressed by respective member states. As you know, land can be attributed to many social problems in other member states,'' Aboud noted.

He said Tanzania maintained its stance over freedom of movement as a security precaution, given cases of insecurity that have loomed in other member states namely Rwanda, Burundi and of late Kenya.

''There is also this issue of using national identity cards as passports for citizens of the regional bloc. Tanzania has objected to this since it feels the process would make it too hard for authorities to monitor those entering and leaving the country.''

''Tanzania wants the use of proper passports to continue for the time being before we decide on the best model we could use,'' he said.

After the Zanzibar meeting, Tanzania's Minister for East African Cooperation, Dr Diodorus Kamala, declared that outstanding issues on land ownership, free movement and permanent residence were put on hold until March next year to provide room for further discussions and consultations.

Kamala was quoted by some local media outlets as saying proposals for allowing East African residents to acquire land in other countries of the region were not in the interests of Tanzanians.

''Land is a very sensitive and intractable issue?we quite explicitly believe it shouldn?t be part of the ongoing discussions on the Common Market protocol,'' Dr Kamala was quoted as saying.
SOURCE: THIS DAY

Jamaa wana usongo na ardhi ya Tanzania,kwani soko la pamoja lazima tuwaachie ardhi yetu ?.
Arusha tumeshaonja karaa za ujambazi kutoka Kenya,hivi tukiondoa passport mambo yatakuwaje!.Wezi wote wa mabenki tena wanaotumia silaha nzito wanatoka Kenya.
Tanzania lazima iangalie kwanza usalama wa mali na raia wake kabla ya kuridhia vipengele vya hovyo.
Mabenk ya Kenya yanatoa mikopo kwa wakulima,Tanzania ndiyo tunaanza kufikiria kukopesha wakulima tena kwa fedha za EPA kama kweli zipo tukilegea kidogo ardhi yetu yote itanyakuliwa kwa kisingizio cha soko la pamoja.
Ardhi ni jambo nyetu sana nawashangaa sana baadhi ya wachangiaji wanaodhani jambo hili linaweza kuachiwa kirahisi tu.Vurugu zote za Mugabe na Wazungu ni masuala ya ardhi.
 
Back
Top Bottom