junky
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 413
- 978
Fainali ya jana ya 5000m ilinifurahisha sana na nimekuwa mfuatiliaji wa riadha toka mwaka 2000.
Mo Farah undisputed athlete aliyekuja kuvunja utawala wa waEThiopia na wakenya hatimaye amestaafu siku ya jana.2011 ulikuwa mwaka wa mapinduzi kutoka kwa utawala wa akina GebreHaille Sellasie ,Kenenisa Bekele kwa Mo Farah.Farah ameshinda medali ya dhahabu ya olimpic 10k mara mbili,5k mara mbili na mashindano mengineyo pia wakati anaanza alishika nafasi ya pili mwaka 2011 kwa kushinda medali ya silver kwenye mashindano ya IFFHS 5k na mbio zake za mwisho mwaka 2017 ni mashindani hayohayo ya IFFHS 5k na anamaliza kwa silver medal kama ilivyokuwa 2011.
Kuna magwiji wa mbio ndefu kama Bekele ,Haille na Mo anaingia kwenye top 3 na anaweza kuwa G o.at sababu ya kuwa na medali ya dhahabu nyingi kuliko Gebre na Bekele .
Pambano la jana nilijua Mo angepata upinzani mkubwa kutoka kwa waEthiopia sababu olimpic ya mwaka jana Rio aliwakimbiza na hata mashindano haya ya 10k aliwakimbiza hivyo kwenye 5k ambayo yalikuwa ndio mbio yake ya mwisho lazima wangetaka kumuwekea doa na walikuwepo waEthiopia 3 ambao ni mahodari lazima wangemuwekea plan ya kumshinda wakati mbio zinaanza nilikuwa nawawaza kejelcha&Edris hawa wangeweza kumpa changamoto ya kutosha Farah na kweli kejelcha alikuwa anaenda bega kwa bega na Farah mpaka final lap na Muktar Edris akitoka nyuma spidi akiwapita Mo na kejelcha na kutia doa usiku wa Mo.Tokea 2012 yalikuwepo maswali mengi ya jinsi ya kumpita Mo hatimaye Edris katuonyesha usiku wa jana .
Tukio la jana limenirudisha nyuma mwaka 2004 Athens Ugiriki mkimbiaji mkongwe wa Morocco El Gouruj yalikuwa ndio mashindano yake ya mwisho alifanikiwa kushinda medal ya dhahabu 1500m na alikuwa anasubiria 5k akimbie astaafu lakini alikuwa anakutana na kisiki Kenenisa Bekele aliyetoka kushinda dhahabu 10k na wote walikuwa wanasubiria 5k lakini tofauti ni kuwa El gouruj yale yalikuwa ndio mbio zake za mwisho kila mtu alijua Bekele angeshinda kwasababu ya kipaji,uwezo na uhodari wake lakini El Gouruj alibana pumbu kwenye final lap na kutoka nyuma kwa spidi akitumia nguvu zake zote akijua yale ndio yalikuwa mbio zake za mwisho na kumpita Bekele ambaye hakuamini kilichotokea na kubeba medali ya dhahabu na kustaafu ,jana Mo alijikaza lkn lkn ilikuwa tofauti.
Muktar Edris jana kanikumbusha Bekele pongezi kwake mara zote alikuwa anatembelea kivuli cha Mo na pongezi kwa Farah kwa kutokata tamaa lap ya mwisho alionekana kachoka na waEthiopia walimuamulia lkn aliweza kishika nafasi ya pili
Tutegemee waEthiopia na wakenya kutawala tena kwenye mbio ndefu kwa miaka mingi ijayo haswa waEthiopia
Edris akipafomu shangilia ya Farah maarufu kama Mobot