ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
Verossa !!!!! Sijui na mimi ndo gari nimnunulie Lady doctor? Eti ladyfurahia unanishaurije?
Aisee hongera zake!
Hivi kumbe kulikuwa na mashindano huku...
Hongera mtani wa mimi...
Verossa !!!!! Sijui na mimi ndo gari nimnunulie Lady doctor? Eti ladyfurahia unanishaurije?
Niko underground, kuandaa watu kupinga zoezi lote na uratibu wote.
1. maamuzi hayakuwa ya haki
2. mshindi hakuchaguliwa kihalali, (majaji walitumia hisia) nasiyo idadi ya kura.
3. kampeni zilifanyika hata wakati wa upigaji kura...
4....ntaendelea
best nimeadimika kumbe,,,,hadi napitwa na mashindano kama haya,pongezi zako my beloved sisy Fixed Point