Pongezi kwa Fixed Point kuwa Msanii Bora wa CC MUSIC 2013

ladyfurahia asante sana kwa kila kitu....
kuanzia kuandaa shindano mpaka kulisimamia na kupata mshindi...
umejitahidi kwa kweli.
Asante sana kwa pongezi na mchuma wa nguvu....
hii ndo ile Mentor aliianzishia uzi?
Barikiwa sana
 
Last edited by a moderator:
Nachukua nafasi hii kumshukuru sana my campaign manager Heaven on earth kuanzia kuendesha kampeni mpaka kusimamia kura zisichakachuliwe, hasa na jaji Bujibuji maana alishamuandaa mshindi wake.
Usingekuwa makini mbona tungelijua jiji?
Kwa kuonyesha shukrani basi hii zawadi kwa mwaka huu mzima utalitumia wewe meneja wangu.....
 
Last edited by a moderator:
Mratibu jamani
mbona waniacha hoi,
yaani umeona only number one.

Ok as uchakachuaji ulikuwa mwingi
inaonyesha pia wewe haukuwa makini kuendesha hiyo kitu.
usijari my dear rafiki.... tutalitumia wote...
si unajua rafiki ni bora kuliko mwanasesere?
 
Reactions: BAK
Niko underground, kuandaa watu kupinga zoezi lote na uratibu wote.
1. maamuzi hayakuwa ya haki
2. mshindi hakuchaguliwa kihalali, (majaji walitumia hisia) nasiyo idadi ya kura.
3. kampeni zilifanyika hata wakati wa upigaji kura...
4....ntaendelea
ha haaa, all the best
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…