Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
Anaekuhubiria utalindwa na roho alie juu yeye mwenyewe analindwa na bodyguards 7.
Anaekuambia ukijitoa muhanga na watu wasio kuwa wa dini yako kuna pahala pako enzini, yeye amejichimbia chini tabata na mtoto mkali mixer kiti moto kwa juu
Fikra zetu zimeliwa
Pesa zetu zimeliwa
Utu wetu umeliwa
Wamekupotosha hadi umeanza kumchukia Mungu kwa maana wamemuweka katika misingi yao ya itikadi na sio misingi ya Mungu yeye binafsi.
Kwa maana wanajua ukijitambua na kufahamu kuwa Mungu yuko ndani yako hautawapelekea sadaka, hautaichukia israel, hautaichukia gaza, siku ya kukuita ukakate watu vichwa hautakuwepo etc