Pongezi kwa Jamii Forums kuendelea kuwa chombo cha vijana wa Kitanzania kuanza kutambua uhalisia wa dini

Wengine wanakaririshwa mistari ndani ya kitabu cha mathayo kwa malipo yanaitwa sadaka
Vyote ni batili.

Kobazi, wavaa magwanda, wavaa sijui nini

Ebu fikiria mkuu.

Kwanini nisio dada yako, au wewe usioe dada yako, eti kisa kuna jmaa kakaa pale juu kasema bwana atakulaani kwa maana sio wa dini yako. BULLSHIT
 
Tuachen mada za hizi dini
Dini inaleta aman ya nafsi na moyo hatujui kama ni za kwel au laah ila zinatupa aman na faraja
 
Umejuaje kama hayupo
Kwa muktadha wa uzi huu, sijaandika Mungu hayupo.

Nimeandika hivi.

"Hata huyo Mungu mwenyewe hujathibitisha yupo.

Bado unacheza humohumo tu."

Kuandika mtu hajathibitisha Mungu yupo ni kuandika mtu hajathibitisha Mungu yupo.

Si kuandika Mungu hayupo.

Kuna tofauti kati ya hayo mawili.

Kusema nimesema Mungu hayupo wakati sijasema hivyo, nimeomba uthibitisho kuwa Mungu yupo, ni logical fallacy, ni non sequitur logical fallacy.
 
Uzi huu ni sawa kabisa mkuu...

Pamoja sana mkuu...!!!
 
Tuachen mada za hizi dini
Dini inaleta aman ya nafsi na moyo hatujui kama ni za kwel au laah ila zinatupa aman na faraja
Nakuelewa sana mkuu.

Si lazima kuzisoma.

Kusema watu waache ni vigumu kwa sababu ni kuwaingilia uhuru wao, ni sawa na mtu aje atake kukulazimisha wewe usifuate dini yako, nafikiri hutapenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…