Mr-Njombe
Member
- Aug 29, 2022
- 64
- 122
Luteni Jeneral Nyone amesema "Toka Kikosi kilipoanza jukumu katika robo ya mwisho ya mwaka 2023 Kimetekeleza majukumu yake ya Ulinzi wa Amani kwa weledi na kuweka mazingira salama na tulivu kwa Wananchi wa Jamhuri ya Afrika ya Kati kuendelea na shughuli za kiuchumi na kijamii na pia kuwezesha Mashirika mengine ya Umoja wa Mataifa kutekeleza majukumu yake kwa urahisi.
Aliendelea kwa kusema nishani hizi ninazowapa ni uthibitisho wa kutambua mchango mzuri wa kazi mliyoifanya hapa nchini Afrika ya kati kwa kipindi cha takribani miezi 10".
Aliendelea kwa kusema nishani hizi ninazowapa ni uthibitisho wa kutambua mchango mzuri wa kazi mliyoifanya hapa nchini Afrika ya kati kwa kipindi cha takribani miezi 10".