hilo ni niongoni mwa majukumu muhimu mazito na ya maana sana yanayoipa Tanzania heshima kubwa na kuaminika mno Kimataifa..Luteni Jeneral Nyone amesema "Toka Kikosi kilipoanza jukumu katika robo ya mwisho ya mwaka 2023 Kimetekeleza majukumu yake ya Ulinzi wa...
Watu wanatekwa na kuuwawa mchana kweupe hapo Buguruni msituambie habari za usalama wa Africa ya Kati tafadhali!Luteni Jeneral Nyone amesema "Toka Kikosi kilipoanza jukumu katika robo ya mwisho ya mwaka 2023 Kimetekeleza majukumu yake ya Ulinzi wa Amani kwa weledi na kuweka mazingira salama na tulivu kwa Wananchi wa Jamhuri ya Afrika ya Kati kuendelea na shughuli za kiuchumi na kijamii na pia kuwezesha Mashirika mengine ya Umoja wa Mataifa kutekeleza majukumu yake kwa urahisi.
Aliendelea kwa kusema nishani hizi ninazowapa ni uthibitisho wa kutambua mchango mzuri wa kazi mliyoifanya hapa nchini Afrika ya kati kwa kipindi cha takribani miezi 10".
View attachment 3092738
Sasa hiyo siyo kazi ya jeshi la wananchi hiyo ni kazi ya wizara ya mambo ya ndani specifically polisi na jamii kwa ujumla. Halafu tusiwe watu wakukosoa tu wanapofanya vizuri tupongeze pia .Watu wanatekwa na kuuwawa mchana kweupe hapo Buguruni msituambie habari za usalama wa Africa ya Kati tafadhali!