Yaani kwa maombi haya nina imani moyo wa charminglady utalegea.....
nitalala kwa amani leo.
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
charminglady, wewe mwenyewe uliniona nilikuwa baba shughuli, nilikuwa najitahidi kuongea na kila mtu huku nikihakikisha mambo yanakwenda sawa, nasikitika sikuonana na wewe face to face tukateta japo kidogo, lakini naamini uliniona jinsi nilivyobanwa.
pamoja sana
Basi barikiwa sana.
charminglady ana moyo mwema sana, hatakuacha upondeke moyo.
Hivi tumelala saa ngapi leo....
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Wala sikujua kuwa ulikuwepo, ungepiga kelele kidogo jamani tuktambue.
Wasukuma wagumu kama nini.... Ila dawa yao nshaipata, Nitawaalika vimwana weupeeee wa JF.. Hapo kwisha habari yao. KOKUTONA
aahh we una kesi ya kujibu tukionanammenitafuna nyama kimoyomoyo najua! basi tu sikuwa na jinsi!
NALIFURAHI PAMOJA NANYI KWA TELEPATHY!