Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazee wakishazeeka, ndio wanavyokuwa ivyo. Mzee akilimali na kilomoni ni mfano wa wazee wetu. Ndio maana serikali katika menejimenti ya kazi inajitaidi kuwapunguza maana wengi hawana maono ya miaka 30 mbeleHuyu mzee anataka kuwa kama mzee akilimali wa yanga
Lkn si kuna sheria inasema mtu akiishachaguliwa kuwa mdhamini haiwezekani kumbadilisha labda afe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Walitumia busara kumwacha, watu kama Kilomoni ni wa kuwafukuza uanachama kabisa.Kanuni za bodi ya wadhamini zimeainishwa ndani ya katiba husika.Kama kifungu cha aina hiyo kitakuwepo katiba hiyo haitosajiliwa.
Sent using Jamii Forums mobile app