Pongezi kwa kamati ya utendaji kwa kumsimamisha uanachama Mzee Kilomoni

Sijui nani alikua anawatumia hawa wazee
 
Wazee wa Simba hawana Kazi sasa, Mo kawatia noti viongozi wa Simba, albino maisha yamekua rahisi sasa,. President MO, kawakopesha pesa, watarudishaje sasa!
 
Huyu mzee anataka kuwa kama mzee akilimali wa yanga
Wazee wakishazeeka, ndio wanavyokuwa ivyo. Mzee akilimali na kilomoni ni mfano wa wazee wetu. Ndio maana serikali katika menejimenti ya kazi inajitaidi kuwapunguza maana wengi hawana maono ya miaka 30 mbele
 
Kanuni za bodi ya wadhamini zimeainishwa ndani ya katiba husika.Kama kifungu cha aina hiyo kitakuwepo katiba hiyo haitosajiliwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Walitumia busara kumwacha, watu kama Kilomoni ni wa kuwafukuza uanachama kabisa.
Ni mamluki wasioaminika, wanaweza kufanya lolote la kuhujumu timu hapo baadae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…