😂😂😂😂😂😂😂😂 hii mikando ya utumishi ni hatari sana watu wata wehukaWapeni form 4 SI mitihani mmewalenga wao
Njia gani nzuri ya mchujo ili tuwapate hao hao wenye weledi/uzoefu wa kazi?Wengi wanachoshindwa kuelewa NI kuwa interview siô njia Sahihi ya kupata Watendaji Bora Ila NI mchujo kama ilivyomitihani mingine.
Imelenga zaidi kwèñye Cognitive domain ya wahusika badala ya utendaji wa wahusika.
Huwezi pima utendaji wa wahusika Kwa interview ya Siku Moja.
Kumbuka interview NI sehemu assesment.
MTU anaweza akapata A lakini kwèñye utendaji akashindwa na aliyepata C
Unashauri wafanyaje sasa?
Njia gani nzuri ya mchujo ili tuwapate hao hao wenye weledi/uzoefu wa kazi?
Hapo vigezo itakuwa bado havijatosha mfano hawana diploma/digrii husika.Naishauri serikali waruhusu na form 4 nao waombe hizi KAZI wakifaulu saihi wapewe kazi TU
Kuna kitu kinaitwa CPE (Continuous professional Edu) kisomo kinapaswa kuwa endelevu ili kujilinda na usahaulifu au kiachwa nyuma.Watu wamemaliza chuo kitambo sana wamesahau sasa mjue kwanini kada zingine walikuwa wanakosa kazi. Wanesahau, wanatoa maswali tofauti, au yale wasiyotegemewa kabisa.
Tutaufikia tu weledi, hatua kwa hatua.Exactly. Mtu ameajiriwa Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko kwa zoa zoa. 8 years later anahamia NIMR kama "technical officer". Hakuna merits wala competence.
Umenena, tuweke lengo la kufikia WELEDI katika kila sekta.Tatizo la Tanzania ni wanasiasa kuvhezea Elimu yetu. Kinachofanyika sasa kinapaswa kiendano na vigezo vya udahili.
Mtu hapaswi somea udaktari kama alifeli Form Four.
Mwalimu asiwe mtu aliyefeli.
Ikiwezekana walimu walio makazini wafanyiwe tathmini na kustaafishwa kwa ulazima kwa maslahi ya baadaye
Hii wanaweza kuiongeza, sema kabla ya kuiongeza wahakikishe kwanza kuna mifumo ya haki ya kufanya hiyo mitazamio.Makampuni binafsi hata ufaulu interview Kwa kiwango kikubwa Kisi gàni lazima wakupe Muda Wa kukutazama utendaji Kazi(probation period)
Vigezo vya kupata kazi sasahivi ni kufaulu mtihani wa utumishi na sio kuwa na degree/ diploma Wala cheti mkuu.Hapo vigezo itakuwa bado havijatosha mfano hawana diploma/digrii husika.
Hii wanaweza kuiongeza, sema kabla ya kuiongeza wahakikishe kwanza kuna mifumo ya haki ya kufanya hiyo mitazamio.
Ila kama haipo mifumo hili tuliache kwanza
Ukose kabisaYan daktari nakosa kazi eti kisa sijajibu vizuri nilipoulizwa tell us about yourself au sijajibu vzr mtihani wenye topic za physics za olevel duh
Usaili wa oral ndio unaamua mshindi baba.Cha muhimu wote walioingia oral wana sifa za msingi za kada husika so wataweza kazi hivyo dua la kuku halitampata mweweSisi tena atuzitaki wapeni watoto wa form 1 B hizo kazi za kuwapima tezi dume mana kipimo Cha utendaji kazi wao watakifikia watabutua vibaya mnoo hizo Pepa zenu
kama sio hizo digrii na diploma mbona wanakagua kabla hawajaingia katika mtihani wenyewe!??Vigezo vya kupata kazi sasahivi ni kufaulu mtihani wa utumishi na sio kuwa na degree/ diploma Wala cheti mkuu.
Issue mtihani TU hata kwa mfano ukiwa wa hesabu za kuchagua ukifeli aijalishi wewe umesoma miaka 6 udaktari sijui una leseni ya Nini
Kwahy unalalamikia utumishi au?Yan daktari nakosa kazi eti kisa sijajibu vizuri nilipoulizwa tell us about yourself au sijajibu vzr mtihani wenye topic za physics za olevel duh