Pongezi kwa mashabiki wa Simba

Pongezi kwa mashabiki wa Simba

Kalpana

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2017
Posts
32,603
Reaction score
62,269
Nawapongeza sana wana lunyasi wotee kwa umoja huu mlioonyesha kwa timu yetu dhidi ya wydad hapo jana...
Kuna baadhi ya wana utopolo hawaamini macho yao..

Kwanza tulimfunga wydad kwa Mkapa japo wao wanamuogopa mnoo yani walimuona kama hafungiki na pia waliamini tungeoga magoli ila sio kwa mnyama Simba..kuna wehu wanahesabu zile penati wanajisahaulisha kwamba zilikua 4 kwa 3..yani wydad kwetu alisanda.

Pili walijua kwa kutoka kwetu jana mtandaoni pasingekalika yani walitegemea matusi kwa kocha,matusi kwa kina Chama..Chama ambae ametuletea goli bora la wiki...Chama ambaye aliingia kwny mchezaji bora wa wiki..kisa tuu hakuperfom jana vzr tayari ngengaa..

Utopwox walitarajia vurugu kama sio leo basi kesho kocha atimuliwe..hilo halipo kocha huyu ni wa viwango vya juu sana bado yupo sanaa

Mwisho niwapongeze wachezaji wetu kwa kupambana sanaaa..hiii ilikua yetu ni bahati tuu haikuwa kwetu..
Viva Simba
Simba nguvu moja
 
Hongereni kwa kuchukua kombe lenu la kila msimu. Mmefikia lengo 👊👊
 
Back
Top Bottom