Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Nini?Losers?ππππSawa mkuu. Tunaanza na shirikisho
Tufumbe macho tuwaombee dua njema.Simu ishike vizuri.Kampuni za uchukuzi wapo kazini.Hapo sauwaaa inaruhusiwa mwanafunzi kumzidi mwalimu..
Wenyewe wametuzomea ila sisi tuwe nao.Inshaallah!Sisi yetu macho mkuu
Kufungwa ni kufungwa tuu....mmetumyima fursa ya kuneanesa juu ya matiti ya warembo wa simba.Nawapongeza sana wana lunyasi wotee kwa umoja huu mlioonyesha kwa timu yetu dhidi ya wydad hapo jana...
Kuna baadhi ya wana utopolo hawaamini macho yao..
Kwanza tulimfunga wydad kwa Mkapa japo wao wanamuogopa mnoo yani walimuona kama hafungiki na pia waliamini tungeoga magoli ila sio kwa mnyama Simba..kuna wehu wanahesabu zile penati wanajisahaulisha kwamba zilikua 4 kwa 3..yani wydad kwetu alisanda.
Pili walijua kwa kutoka kwetu jana mtandaoni pasingekalika yani walitegemea matusi kwa kocha,matusi kwa kina Chama..Chama ambae ametuletea goli bora la wiki...Chama ambaye aliingia kwny mchezaji bora wa wiki..kisa tuu hakuperfom jana vzr tayari ngengaa..
Utopwox walitarajia vurugu kama sio leo basi kesho kocha atimuliwe..hilo halipo kocha huyu ni wa viwango vya juu sana bado yupo sanaa
Mwisho niwapongeze wachezaji wetu kwa kupambana sanaaa..hiii ilikua yetu ni bahati tuu haikuwa kwetu..
Viva Simba
Simba nguvu moja
Mlichokipambania sana, tunaenda kujaribu kukileta nyumbaniHapo sauwaaa inaruhusiwa mwanafunzi kumzidi mwalimu..
Hadi kuroga mliroga, leo unaita losers? π πNini?Losers?ππππ
Halafu,Haji Manara amesema Simba haijawahi kufika fainali kombe lolote Afrika.Kwa nini hamumkatazi asivute bangi?Mlichokipambania sana, tunaenda kujaribu kukileta nyumbani
Halafu,Haji Manara amesema Simba haijawahi kufika fainali kombe lolote Afrika.Kwa nini hamumkatazi asivute bangi?Mlichokipambania sana, tunaenda kujaribu kukileta nyumbani
Tulidumisha mila.πHadi kuroga mliroga, leo unaita losers? π π
Hahaa pole mkuu hukujaribu tuu bahati yako..labda ungekaibua ka shost ka yanga kanakojifanya Simba..kwamba kana hudhuni kumbe walaKufungwa ni kufungwa tuu....mmetumyima fursa ya kuneanesa juu ya matiti ya warembo wa simba.
Sasa tunasubiri mayele atupe raha hapo kesho