GANA BANKS
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 608
- 872
Subiri nikusaidie GENTAMYCINE na OKW BOBAN SUNZUNimefurahishwa na Uzalendo na Umoja wanao uonyesha mashabiki wa Simba kuungana na Mashabiki wa Yanga kuipa nguvu timu yetu ya Yanga,Kudos..!![emoji1666]
Hasa GENTAMICINE THE KING na OKWI BOBAN SUNZU wanajitoa sana.
Hao wote uliyowataja ni hatersNimefurahishwa na Uzalendo na Umoja wanao uonyesha mashabiki wa Simba kuungana na Mashabiki wa Yanga kuipa nguvu timu yetu ya Yanga,Kudos..!![emoji1666]
Hasa GENTAMICINE THE KING na OKWI BOBAN SUNZU wanajitoa sana.
Safi sana wewe si mnafiki. Ila Mungu ni wetu sote atatusaidia inshallah tutafuzu semi final CAF ConfederationSisi simba tunawaombea sanaa
Tunawaombea sanaa Kwa Mungu
Tunawaombea sana MFUNGWE MTOLEWE
Safi sana wewe si mnafiki. Ila Mungu ni wetu sote atatusaidia inshallah tutafuzu semi final CAF Confederation
Makundi yapi Sheikh wangu wakati tunainyatia fainaliMtatolewa makundi tu mkifika huko
Hao uliowataja huwa wanajitoa sana kufanyaje? Isijekuwa unamaanisha wanajitoa sana akili. Embu toa ufafanuzi mkuuNimefurahishwa na Uzalendo na Umoja wanao uonyesha mashabiki wa Simba kuungana na Mashabiki wa Yanga kuipa nguvu timu yetu ya Yanga, Kudos.[emoji1666]
Hasa GENTAMICINE THE KING na OKWI BOBAN SUNZU wanajitoa sana.
unanigombanisha na ndugu zanguHao uliowataja huwa wanajitoa sana kufanyaje? Isijekuwa unamaanisha wanajitoa sana akili. Embu toa ufafanuzi mkuu
Hao hawastahili kupongezwa. Maana huyo Genta ni Mwenyekiti wa Mapopoma wote humu jukwaani! Halafu huyo mwingine ni Katibu wake.Nimefurahishwa na Uzalendo na Umoja wanao uonyesha mashabiki wa Simba kuungana na Mashabiki wa Yanga kuipa nguvu timu yetu ya Yanga, Kudos.[emoji1666]
Hasa GENTAMICINE THE KING na OKWI BOBAN SUNZU wanajitoa sana.
Mkurugenzi, hii kitu umeandika ukiwa una njaa, au!!Mtatolewa makundi tu mkifika huko
Asante Mkuu ila nashangaa mpaka sasa hii ID yako haijahusishwa na Mimi GENTAMYCINE kwani hapa JamiiForums akitokea tu Member akanisifia haraka sana Watu hujitokeza na kudai Yeye ndiyo Mimi ila zile IDs za Kunichafua, Kunitukana na Kunidhalilisha huwa hazihusishwi na Mimi.Nimefurahishwa na Uzalendo na Umoja wanao uonyesha mashabiki wa Simba kuungana na Mashabiki wa Yanga kuipa nguvu timu yetu ya Yanga, Kudos.[emoji1666]
Hasa GENTAMICINE THE KING na OKWI BOBAN SUNZU wanajitoa sana.