GANA BANKS
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 608
- 872
Nimefurahishwa na Uzalendo na Umoja wanao uonyesha mashabiki wa Simba kuungana na Mashabiki wa Yanga kuipa nguvu timu yetu ya Yanga, Kudos.[emoji1666]
Hasa GENTAMICINE THE KING na OKWI BOBAN SUNZU wanajitoa sana.
Hasa GENTAMICINE THE KING na OKWI BOBAN SUNZU wanajitoa sana.