Pongezi kwa mdada Mentor Cherry, muathirika wa VVU anayetoa elimu kuhusu masuala yanayohusu VVU

Pongezi kwa mdada Mentor Cherry, muathirika wa VVU anayetoa elimu kuhusu masuala yanayohusu VVU

Uyo dada namjua Hana ngoma Wala nini ameamua tu njia ya kuingia town
 
Zama hizi hela ipo kwenye content na umaarufu social media..

Unapopata followers wengi unapata dili za hela nyingi kuliko kuajiriwa ofisini mshahara laki kazaa ama milioni 1

Mwijaku na upuuzi wake kwa mwezi anatengeneza zaidi ya milioni 10

MC garab na content zake za harusi za kishua kwa mwezi anatengeneza zaidi ya milioni 20. Maana kila mpenda show off anataka ampe kazi Garab ili apostiwe kwenye page yake
labda hata kwa uyu
anaelekea uko
Screenshot_20231115-223214_Instagram Lite.jpg
 
Back
Top Bottom