Piaa nampa hongera kwa kuonekana sana kwenye ITV kipindi cha taarifa ya habariii
Piaa nampa hongera kwa kuonekana sana kwenye ITV kipindi cha taarifa ya habariii
u always mek my day wit ur damn criticism. .
u always mek my day wit ur damn criticism. .
Bibie wewe mtata nawe.
Weka picha
Yani mi akitajwa mengi namuwaza klyn tuu...
Wanahabaro!! wewe utakuwa ni bambo bila shaka.Vyombo vyake vya habari kwa miaka 20 vimetoa wana habaro ambao karibia wote leo ni watu wenye hali nzuri kimaisha
Kuna wengine wameshatangulia mbele za haki RIP lakini wameondoka kwa heshima kubwa na kuacha mengi mazuri ta kukumbukwa
Hata vyombo vya habari vimejijenga kwenye mhimili wa kuheshimika na kuaminika
Hongera Mzee Mengi pamoja na wote waliofanikisha kukufikisha ulipo sasa
Kausha nayumia skini touch
Piaa nampa hongera kwa kuonekana sana kwenye ITV kipindi cha taarifa ya habariii
Jamani kituo si chake hata akionekana kutwa nzima kuna kosa gani