Pongezi kwa mzee Reginald Mengi

Pongezi kwa mzee Reginald Mengi

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Vyombo vyake vya habari kwa miaka 20 vimetoa wana habaro ambao karibia wote leo ni watu wenye hali nzuri kimaisha
Kuna wengine wameshatangulia mbele za haki RIP lakini wameondoka kwa heshima kubwa na kuacha mengi mazuri ta kukumbukwa
Hata vyombo vya habari vimejijenga kwenye mhimili wa kuheshimika na kuaminika
Hongera Mzee Mengi pamoja na wote waliofanikisha kukufikisha ulipo sasa
 
Nakumbuka enzi hizo tulikuwa na tv peke yetu mtaa mzima ITV Ndo ilikuwa station pekee iliyokuwa inaonesha vizuri zingine chenga tu !!
 
Vyombo vyake vya habari kwa miaka 20 vimetoa wana habaro ambao karibia wote leo ni watu wenye hali nzuri kimaisha
Kuna wengine wameshatangulia mbele za haki RIP lakini wameondoka kwa heshima kubwa na kuacha mengi mazuri ta kukumbukwa
Hata vyombo vya habari vimejijenga kwenye mhimili wa kuheshimika na kuaminika
Hongera Mzee Mengi pamoja na wote waliofanikisha kukufikisha ulipo sasa
Wanahabaro!! wewe utakuwa ni bambo bila shaka.
 
Nguli kibao wamepita hapo Charles Hilary,Abubakary Liongo,Ahmed Kipozi,Abdalah Majura,Salim Kikeke,Misanya Bingi,Flora Nducha,Marry Mgawe,Julius Nyaisanga,Moses Justine,Mike Muhagama,Taji Liundi.
 
Mi hadi Leo nashindwa kuamini huyu mzee anabanjuka na k-lyn, maana ukimwangalia na mambo yetu yale hata hafananii..ivi cjui wanaish wapi
 
Back
Top Bottom