Pongezi kwa mzee Reginald Mengi

Mi hadi Leo nashindwa kuamini huyu mzee anabanjuka na k-lyn, maana ukimwangalia na mambo yetu yale hata hafananii..ivi cjui wanaish wapi

Mapenzi faranga sura ,umri tunavuliana
 
Mi hadi Leo nashindwa kuamini huyu mzee anabanjuka na k-lyn, maana ukimwangalia na mambo yetu yale hata hafananii..ivi cjui wanaish wapi

Mapenzi faranga! mapenzi shekeli! sura ,umri tunavuliana
 
Ila klyn na yeye kashaanza kuzeeka sura imekuwa nzitoo, chemistry imefanya kazi..

Nature inatuambia kuwa mkipendana sura zinajiadjust mpaka mnafanana huoni mzee anakuwa kijana
 
Ila klyn na yeye kashaanza kuzeeka sura imekuwa nzitoo, chemistry imefanya kazi..

Hahhhahhha unajua hata klyn age imeenda kidogo,hiv hiv hua wanaishi wapii pembezon mwa bichi ninii maana sipatii picha maisha yao!!
 
Ngoja nianze kuchunguza , maana uwa nakaa na watu wanaofahamiana sana na hawa mastaa, Data Zao zote nazipata
 
Pia na mpa big up kwa kudate na mamiss wabongo na big up zaidi kwa Kyln kwa kukubali kuwa mama wali maana Mada Rita na Jokate walichemka.
 
Gere mamaaa gere mamaaaa....!
wewe mtu wa mia wataka elfu nneee....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…