Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
skini touch????
Hahhhahhhha ana balaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
skini touch????
Yani mi akitajwa mengi namuwaza klyn tuu...
Mapenzi faranga! mapenzi shekeli! sura ,umri tunavuliana
Ila klyn na yeye kashaanza kuzeeka sura imekuwa nzitoo, chemistry imefanya kazi..
Hahhhahhha unajua hata klyn age imeenda kidogo,hiv hiv hua wanaishi wapii pembezon mwa bichi ninii maana sipatii picha maisha yao!!
Hahhhahhha unajua hata klyn age imeenda kidogo,hiv hiv hua wanaishi wapii pembezon mwa bichi ninii maana sipatii picha maisha yao!!
Wanaishi Gongo La Mboto
Gongo la mboto la masaki au mbezi bichii
Piaa nampa hongera kwa kuonekana sana kwenye ITV kipindi cha taarifa ya habariii
Gere mamaaa gere mamaaaa....!
wewe mtu wa mia wataka elfu nneee....!
Pia na mpa big up kwa kudate na mamiss wabongo na big up zaidi kwa Kyln kwa kukubali kuwa mama wali maana Mada Rita na Jokate walichemka.