Nguli kibao wamepita hapo Charles Hilary,Abubakary Liongo,Ahmed Kipozi,Abdalah Majura,Salim Kikeke,Misanya Bingi,Flora Nducha,Marry Mgawe,Julius Nyaisanga,Moses Justine,Mike Muhagama,Taji Liundi.
Namkubali sana huyu mzee,,, mungu amzidishie.
unamkubali kwa lipi mamii, au unataman bahat ya mama wawili ingekuangukia wewe
biashara zake wapi na wapi, naye ni fisadi tu kama mafisadi wengine, embu jaribu kuchimba chimba uelewe alivyokwiba mapesa nicol.Huoni biashara zake na msaada kwa watu!!!!! hiyo bahati yake na mama wawili ni mambo yake binafsi...
biashara zake wapi na wapi, naye ni fisadi tu kama mafisadi wengine, embu jaribu kuchimba chimba uelewe alivyokwiba mapesa nicol.
Pia na mpa big up kwa kudate na mamiss wabongo na big up zaidi kwa Kyln kwa kukubali kuwa mama wali maana Mada Rita na Jokate walichemka.
bora hata hiyo ikabaki kuwa channel 5 maana jina la eatv sidhani hawa wakenya na waganda kama huwa wanatazama hii chanel, labda watanzania waishio huko,hata lengo lao la kupata matangazo kutoka nchi hizo lilishakufadah tumetoka mbali enzi za itv na itv 2,kweli mtu alietoa wzo itv 2 ibadilishwe na kuwa channel 5 nampa big up.
ndo changamoto zenyewe hizo so mengi inabidi apambane nazo na sio kukata tamaa.bora hata hiyo ikabaki kuwa channel 5 maana jina la eatv sidhani hawa wakenya na waganda kama huwa wanatazama hii chanel, labda watanzania waishio huko,hata lengo lao la kupata matangazo kutoka nchi hizo lilishakufa